Kuna clip mama yake zuchu anahojiwa,
mtangazaji anamuuliza kopa kuhusu zuchu , kopa anajibu kwanba
Kuna walio zaa watoto na wengine wakanya watoto yeye alizaa, nikajiuliza bibi wa vile anaweza ropoka vile kwenye media kweli? Kwamba wazazi wengine walikunya yeye alizaa?
Diamond tuna imani na wewe, najua utakuja kukapiga tukio misipa ya shingo ichomoze.
Aliachika tanasha mwenye sura yake, zari mwenye status zake, hamisa mwenye shape yake, wema mwenye vingereza vyake, sembuse huyu zuchu wa mwananyamala shape hana , na sura yake pana kama kachapati? Nyooooo[emoji57][emoji57][emoji57]