Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Instagram ni mtandao ambao watu wake ni kama wamechanganyikiwa,
Sijawahi upenda huo Mtandao.
Sijawahi upenda huo Mtandao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gorilla kabisa alivyo handsome mbape vileHUYO SHABIKI MWENYEWE ANA SURA KAMA MBAPPE[emoji23][emoji23][emoji23]
Na ndo wanaosababisha wenzao wakate utumbo,wafanye sajari,waweke filters nk maana ukiweka uhalisia unachambwaa na shabiki mpk unakomaAende utrukiiiii sio uturuki [emoji13]
People are being with full of stress,anger envy wanamalizia mtu kama Zuchu ambae kimaisha hawamfikii hata roboInstagram ni mtandao ambao watu wake ni kama wamechanganyikiwa,
Sijawahi upenda huo Mtandao.
Mwanamke siyo sura tu,tabia hasa ndiyo inamata.
Aiseeeee! Hii Hate sio ya Karne hii,Kuna clip mama yake zuchu anahojiwa,
mtangazaji anamuuliza kopa kuhusu zuchu , kopa anajibu kwanba
Kuna walio zaa watoto na wengine wakanya watoto yeye alizaa, nikajiuliza bibi wa vile anaweza ropoka vile kwenye media kweli? Kwamba wazazi wengine walikunya yeye alizaa?
Diamond tuna imani na wewe, najua utakuja kukapiga tukio misipa ya shingo ichomoze.
Aliachika tanasha mwenye sura yake, zari mwenye status zake, hamisa mwenye shape yake, wema mwenye vingereza vyake, sembuse huyu zuchu wa mwananyamala shape hana , na sura yake pana kama kachapati? Nyooooo[emoji57][emoji57][emoji57]
Sijawahi ona Ubaya wa yule binti, labda kwa kua hajajichubua ndio wanamuona mbaya lakini kako sexy kiufupi kama kweli wana Date wanaendana sana.People are being with full of stress,anger envy wanamalizia mtu kama Zuchu ambae kimaisha hawamfikii hata robo
Sasa Kuna ubaya gani akilingia mali za bwana ake?Msanii Zuchu aliamua kumtambia Shabiki yake kwenye mtandao wa instagram baada ya shabiki huyo kumwambia Zuchu kuwa alikuwa anamzidi uzuri na hadi sasa bado anamzidi uzuri...
Zuchu baada ya kuona maoni hayo ya shabiki yake hakutaka kuyaaacha badala yake alimjibu shabiki huyo kuwa pamoja na ubaya wake ila yeye ana bwana tajiri na amekolea kweli kweli kwake na hapindui na anaishi kwenye hekalu na pia kwa sasa ana gari mbili na ya tatu ameagiza inakuja.
View attachment 2166419
View attachment 2166418
Unadhani sura na mashape ndo yanaolewa ?? Kama akili Zako bado zipo hapo basi hujakua badoKuna clip mama yake zuchu anahojiwa,
mtangazaji anamuuliza kopa kuhusu zuchu , kopa anajibu kwanba
Kuna walio zaa watoto na wengine wakanya watoto yeye alizaa, nikajiuliza bibi wa vile anaweza ropoka vile kwenye media kweli? Kwamba wazazi wengine walikunya yeye alizaa?
Diamond tuna imani na wewe, najua utakuja kukapiga tukio misipa ya shingo ichomoze.
Aliachika tanasha mwenye sura yake, zari mwenye status zake, hamisa mwenye shape yake, wema mwenye vingereza vyake, sembuse huyu zuchu wa mwananyamala shape hana , na sura yake pana kama kachapati? Nyooooo[emoji57][emoji57][emoji57]
We ni mwanaume kweli?.....au bs Post picha ya ndugu yako yyote unaeona amemzidi uzuri zuchuIle kitoto ndio kibaya kweli. Sijui kama mond hawajamuwekea kinyama cha kwenye k na mamaake hiki kitoto
Labda ajiue ajiumbe upyaHuwa sioni mantiki ya kumsema mtu et mbaya na unamwambia direct, afanyeje sasa?
Labda yawe majungu ya pembeni tu.
Weka wewe sura yako tuione kama ya Zuchu ipo kama chapati.!Kuna clip mama yake zuchu anahojiwa,
mtangazaji anamuuliza kopa kuhusu zuchu , kopa anajibu kwanba
Kuna walio zaa watoto na wengine wakanya watoto yeye alizaa, nikajiuliza bibi wa vile anaweza ropoka vile kwenye media kweli? Kwamba wazazi wengine walikunya yeye alizaa?
Diamond tuna imani na wewe, najua utakuja kukapiga tukio misipa ya shingo ichomoze.
Aliachika tanasha mwenye sura yake, zari mwenye status zake, hamisa mwenye shape yake, wema mwenye vingereza vyake, sembuse huyu zuchu wa mwananyamala shape hana , na sura yake pana kama kachapati? Nyooooo[emoji57][emoji57][emoji57]
Wanawake wengi wanatamani sana kuwa kwenye hiyo nafasi,kisirisiri lakini.Aiseeeee! Hii Hate sio ya Karne hii,
Ila hii couple ya Zuchu na Mondi wanaoumia zaidi ni Vigagula sijui kwanini [emoji848][emoji849]
Halafu ni mwanamke mwenzake huyo,ndio ujue adui wa mwanamke wala sio mwanaume ila mwanamke mwenzakeMashabiki kuna muda wanazingua.
Mtu kashiba ugali anaenda msema mwenzake mbaya, sasa akiwa mbaya afanyeje?
Nayeye atakuwa amekunya su amezaa sengeKuna clip mama yake zuchu anahojiwa,