Zuchu amtambia shabiki kuwa bwana yake ni tajiri na anaishi kwenye hekalu!

Nimemuelewa zuchura mashabiko wanabully sana!wasanii nao ni wanadamu na mioyo hvyo we need to respect them
 
Aende utrukiiiii sio uturuki [emoji13]
Na ndo wanaosababisha wenzao wakate utumbo,wafanye sajari,waweke filters nk maana ukiweka uhalisia unachambwaa na shabiki mpk unakoma
 
Kuna clip mama yake zuchu anahojiwa,

mtangazaji anamuuliza kopa kuhusu zuchu , kopa anajibu kwanba

Kuna walio zaa watoto na wengine wakanya watoto yeye alizaa, nikajiuliza bibi wa vile anaweza ropoka vile kwenye media kweli? Kwamba wazazi wengine walikunya yeye alizaa?

Diamond tuna imani na wewe, najua utakuja kukapiga tukio misipa ya shingo ichomoze.

Aliachika tanasha mwenye sura yake, zari mwenye status zake, hamisa mwenye shape yake, wema mwenye vingereza vyake, sembuse huyu zuchu wa mwananyamala shape hana , na sura yake pana kama kachapati? Nyooooo😏😏😏
 
Aiseeeee! Hii Hate sio ya Karne hii,

Ila hii couple ya Zuchu na Mondi wanaoumia zaidi ni Vigagula sijui kwanini [emoji848][emoji849]
 
Sasa Kuna ubaya gani akilingia mali za bwana ake?
 
Unadhani sura na mashape ndo yanaolewa ?? Kama akili Zako bado zipo hapo basi hujakua bado
 
Weka wewe sura yako tuione kama ya Zuchu ipo kama chapati.!
Btw wewe mwenye sura nzuri una mafanikio gani yalotokana na sura yako au sababu upo behind the keypad!!....dont panic though...
 
Nayeye atakuwa amekunya su amezaa senge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…