Zuchu amtambia shabiki kuwa bwana yake ni tajiri na anaishi kwenye hekalu!

Mashabiki kuna muda wanazingua.

Mtu kashiba ugali anaenda msema mwenzake mbaya, sasa akiwa mbaya afanyeje?
Eti shabiki aliyeshiba ugali 🤣🤣🤣 mwamba Umenichekesha aisee
 
Instagram ni mtandao ambao watu wake ni kama wamechanganyikiwa,


Sijawahi upenda huo Mtandao.
Kabisa shida inaanzia kwasababu ya gharama ya bando watu wanamudu wengi hata wale wa buza utawakuta wapo
 
Weka wewe sura yako tuione kama ya Zuchu ipo kama chapati.!
Btw wewe mwenye sura nzuri una mafanikio gani yalotokana na sura yako au sababu upo behind the keypad!!....dont panic though...
Duh Phoenix naona umempa mwenzako kichambo heavy si vizuri hivyo ujue akikujibu nitag
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana hapa uwiiiih.
 
Kumwambia mtu mbaya ni kukosoa uumbaji wa mungu.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hata marehemu Omary mmombasa, alizaa.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Siku moja Mzee mmoja alinambiya,

Mjukuu wangu ukitaka kuoa mwanamke yeyote,
Kwanza muangalie mama yake alivyo,
Kuanzia Sura hadi umbile.

Vile alivyo mama wa mkeo ndy atakavyokuwa mkeo baadae.

Sasa mondi asije kukimbia nyumba Tu.
Muda ni mwalimu mzuri.
 
Tukiweka ushabiki pembeni, kuna kaukweli fulani hivi kuwa wasanii wengi wa kike wenye majina bongo upande wa uzuri kidogo wamepwaya. Huwezi kupewa vyote
 
Hataki funguliwa mashtaka unaoa mke kisu anazaa watoto wana sura ngumu unakuja kugundua alifanya surgery ya kurekebisha uso.

Unamshtaki kama yule mchina alivyomshtak mke wake
Ile kesi sijui iliishia wapi [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…