Zuchu amuwekea Diamond Platnumz sharti zito kabla ya kupata mtoto pamoja

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu Zuchu kaweka kikwazo, tusubiri Diamond kama atakivuka 😆

Staa wa Bongo Fleva, Zuchu amempa sharti la ndoa Diamond Platnumz ndio waweze kupata mtoto pamoja baada ya Nyota huyo kumuuliza kama anamuamini na atamzalia wakiwa jukwaani wakitoa burudani ya muziki kwenye usiku wa kuamkia Oktoba 27, 2024 kwenye Tamasha la Wasafi, Muleba Mkoani Kagera.
Your browser is not able to display this video.

Pia, Soma:
Hizi ndizo couple za Diamond Platnumz zilizokosa mvuto ikiwemo couple ya Zuchu
Hivi ndivyo mastaa wa Bongo wanavyopiga hela nje ya muziki
 
Ngoja waje
 
clues r everywhere, hakuna muoaji hapo,
Wifeless
Conniving
Bastard
Na bado mnafikiri wcb ni wasafi classic sijui nini at the end.
Am just saying.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…