Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binti ana akili sanaWakuu Zuchu kaweka kikwazo, tusubiri Diamond kama atakivuka 😆
Staa wa Bongo Fleva, Zuchu amempa sharti la ndoa Diamond Platnumz ndio waweze kupata mtoto pamoja baada ya Nyota huyo kumuuliza kama anamuamini na atamzalia wakiwa jukwaani wakitoa burudani ya muziki kwenye usiku wa kuamkia Oktoba 27, 2024 kwenye Tamasha la Wasafi, Muleba Mkoani Kagera.
View attachment 3136254
Pia, Soma:
• Hizi ndizo couple za Diamond Platnumz zilizokosa mvuto ikiwemo couple ya Zuchu
• Hivi ndivyo mastaa wa Bongo wanavyopiga hela nje ya muziki