Zuchu ana nyota kali sana (Female version of Diamond)

Inawezekana lakini ngoja wenyewe waje kupinga hili au wathibitishe kama ni kweli usemacho.
Wana wanapenda sana kitonga! Si ulimuona hata wa msoga alikuwa hajipi stress za kuendeleza nchi akaamua kuwa explorel Vasco da Gama!
 
Millard Ayo kavumilia wee kaamua kumpost Zuchu,huku kwa Diamomd kajifanya kulinganisha Diamond na msanii wao waliye mfanyia promo ya masaa 18 mfululizo.
 
Ngoja kwanza tupate maoni ya Numbisa na watu wake...😁😁😀😎😎
 
Tecno Own The Stage kule Nigeria si alipitwa na Nandy??? Au nyota ilikuwa bado kuwaka?Muziki wa Afrika una utimu..ukiwa WCB hata Kingwendu akitoa ngoma views 4m
Hahaaa but leo tekno ana mafanikio makubwa sana

Hata nyimbo zake zinajieleza kwamba zinauwezo mkubwa sana you cant campare na tanzanian artist yeyote

Ile ngoma ya DIANA ni kithibitisho sahihi
 
Naam true kabisa
 
She is young and beautiful,she is talented,she is charismatic,she has hunger and urge for success.....
I wish Her much exquisite wishes,aaaamen.

Go Go Go Zuchu.
Ila na nyi ma CCM bana... Yani kwa vile mwenyekiti kamuelewa tu basi na nyi mnaanadamana...!!
 
Mkuu yote umeongea ukweli ila tu hapo kwnye kusema msanii namba moja wakike bongo......umeongea kituko kimoja matata......zuchu hafukii hata robo ya watu kama ruby na nandy.....hasa katika upande wa kipaji na fan base
 
Mkuu yote umeongea ukweli ila tu hapo kwnye kusema msanii namba moja wakike bongo......umeongea kituko kimoja matata......zuchu hafukii hata robo ya watu kama ruby na nandy.....hasa katika upande wa kipaji na fan base
Ruby!!!? Mnh!! Hivi kuna msanii pale!?
 
Yani we jamaa inaonekana hata muziki huufahamu......hivi nikuulize....mtafute mtu anaeufahamu mziki afu muulize vizuri kuhusu habari ya ruby......
 
Yaani huyu mtoto Zuchu we acha tu....unamfananishaje na Ruby?!!!

Hata tu uzuri wa looks hawafanani......

Chengine huyu mtoto ni kipaji chake maridhawa na jinsi HISIA za muziki wake zinavyoendana na GESTURES yaani namkubali Sanaaaaa.

Wanaomkubali km mm would you pls put your like here!
 
Kasungura tope tu ako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…