Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 6,754
- 8,750
Yawekana hapa najibizana na watu wasio ujua muziki kabisa aiseee....yn katika uwezo wa kuimba unamfananisha Ruby na Zuchu!!!!???? Yani Ruby na Zuchu washuke mic hapa waimbe live!!!???? Unasemajeee weeee......hivi we Ruby unaemzungumzia ni yupi kwani.....Yaani huyu mtoto Zuchu we acha tu....unamfananishaje na Ruby?!!!
Hata tu uzuri wa looks hawafanani......
Chengine huyu mtoto ni kipaji chake maridhawa na jinsi HISIA za muziki wake zinavyoendana na GESTURES yaani namkubali Sanaaaaa.
Wanaomkubali km mm would you pls put your like here!