Zuchu ana nyota kali sana (Female version of Diamond)

Zuchu ana nyota kali sana (Female version of Diamond)

KUNA WATU HAWAUJUI MZIKI KABISA AISEE, YANI ZUCHU NDIO MSANII BORA WA KIKE TANZANIA?
AU SABABU YA TEAM WCB NINI? AU SABABU NI CCM? TUACHE U TEAM KWENYE KILA KITU BWANA ZUCHU HAMUWEZI HATA RUBY ACHILIA MBALI NANDY NA JD.
 
KUNA WATU HAWAUJUI MZIKI KABISA AISEE, YANI ZUCHU NDIO MSANII BORA WA KIKE TANZANIA?
AU SABABU YA TEAM WCB NINI? AU SABABU NI CCM? TUACHE U TEAM KWENYE KILA KITU BWANA ZUCHU HAMUWEZI HATA RUBY ACHILIA MBALI NANDY NA JD.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaongea lakini naona aibu Mimi, msanii mkubwa unajua anapimwa kwa nini, Kuna streams, kuuza ,MZIKI wako na kadhalika, so for now JAYDEE NDO mkali anafatia ZUCHU hao wengi e hatuwajui.
 
kuna kipi kiba anamzidi harmo? kuanzia pesa hadi namba kupitia platform zinambeba harmo mbele ya kiba, sema kiba kinachombeba ni ule u-team bt ukifuata uhalisia wa namba kiba ni msanii no4 kwa sasa.
Hapoa sawa na rank ni Kama hivi:
1.diamond platinumz.
2.rayvanny.
3.harmonize
4.alikiba
 
Just imagine angekuwa anpata airtime in all media platforms Tanzania si ingekuwa kihama yule mtoto ananyota Kali sana we subir watakili wenyewe mwanzon walianza kusema Ni muimba taarab alipotoa quarantine wa2 hawakuamin kaimba kwenye huu wa ccm ndio kabisaa kawaua
Fact zuchu wa Moto #1 female artist
 
Kumbe zuchu ana miaka 30
IMG_20200807_210625_542.JPG
 
Ili msanii uwe superstar kuna vitu vitatu vya muhimu kuwa navyo.

1. Kipaji
2. Nyota
3. Connection

Ukikosa vyote basi walau uwe na viwili kati ya hivyo na kitu Nyota usikikose.

Msanii mpya kabisa lakini aliyeweza kupenya kwenye mioyo ya kila mtanzania hapa namzungumzia Zuchu yeye amejaliwa vyote vitatu yani nyota, connection na kipaji.
Hakuna ubishi Zuchu ndio msanii namba moja wa kike kwa sasa hapa bongo.

Na moja ya sababu ya kuteka industry ya muziki ni kujaliwa nyota kali. Nyota ya Zuchu inataka ifanane na ya kiongozi wake Diamond Platnumz.

Kuna vitu tutaendelea kuvishuhudia kutoka kwake na vitatushangaza. Tutabaki tunajiuliza kwa nini yeye lakini tusipate majibu, ndio namna nyota nzuri zinavyotokea.

Zuchu kama Zuchu ni supastaa. View attachment 1503990View attachment 1503991
Mtazamo wako sio reality
 
Mwenye ako na connection anione inbobo
 
Back
Top Bottom