Magiyula
New Member
- Jul 8, 2020
- 2
- 1
Doh! tuache unafiki jamani Zuchu niwakawaida sana sema sehemu alipo panambeba hata Harmonize alipokuwa wcb alionekana mkali zaidi ya kiba sasahivi amekuwa wakawaidaZuchu is the hottest female artist kwa sasa..
Nyimbo zake ndizo zinaongoza kuwa streamed kwenye online media platforms zote kwa wasanii wa kike tangia ametoka.
Anakuja kwa kasi sana, siku atakapoachia collabo yake na Diamond ndiyo itakayokuwa mazishi kwa all female singers Tz.
Na ndiyo siku atakayoingia nambari 1 rasmi...