sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Punguza hasira mwamba, maisha umeyakosea mwenyewe usitafute pakufiaAcha kufananisha boda boda na vitu vya kijinga.
Na nani amekwambia boda boda moja MILIONI moja?
Na hapo bado hamjafanya negotiation
Huyo ni msanii na Hiyo ni bei ya kiusaniiHayo madubwasha ni zaidi ya milioni 2???
Hmm...