Zuchu avaa kiatu cha zaidi ya Tshs. Milioni 2

Zuchu avaa kiatu cha zaidi ya Tshs. Milioni 2

Mmh mkuu hapo juu kasema dola 75! Ila hata hivo naiona kubwa kwa kiatu gani hicho kama gari Hiace au Noah vibayaa! Sijui ni wivu huu😀
$75 si kama laki na 70 hivi. TRM wivu unatusumbua 😀 tizama kwanza hii skirt yake
Screenshot_20210224-005353.png
 
Na hapo bado hamjafanya negotiation

Hawa mastaa wakibongo wameendekeza drama na kufake maisha sana kuliko uhalisia wao ulivyo
Mtu kavaa viatu vyake yupo na mishe zake wewe unapata maumivu eti drama [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yani awa watu mpaka wakivaa viatu mnachukia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani yeboyebo ndio kanunua kwa hela hiyo wakati kariakoo 10k alaf li yeboyebo lenyewe limekaa kama kwenye ile movie ya Avenger ..kabila gani kwanza huyo ili niweke conlusion
 
Back
Top Bottom