Zuchu avaa kiatu cha zaidi ya Tshs. Milioni 2

Zuchu avaa kiatu cha zaidi ya Tshs. Milioni 2

Ukiwa unafanya kazi au biashara za kuvuja jasho lazima uwaoneee wivu hawa vijana 😀😀😀
 
kusema kweli huyu mwanamke ni mbaya sana, yani si sura wala umbile!!
 
Haya masanii ya bongo majongo ajabu.
 
Sema macho yako yanamuona ni mbaya na sio ukweli.
kwamba ana macho yenye makengeza

hata mimi namuona mbaya anzia sura,shepu,kutembea, kuvaa,yaani kama katoka bush flan kumbe kazaliwa mjini tena na mtu maarufu anayejua kuvaa ila yeye sasa daaah
 
Back
Top Bottom