Zuchu avaa kiatu cha zaidi ya Tshs. Milioni 2

Zuchu avaa kiatu cha zaidi ya Tshs. Milioni 2

kwamba ana macho yenye makengeza

hata mimi namuona mbaya anzia sura,shepu,kutembea, kuvaa,yaani kama katoka bush flan kumbe kazaliwa mjini tena na mtu maarufu anayejua kuvaa ila yeye sasa daaah
Hana ubaya wowote ni macho yenu yana makengeza.
 
Screenshot_2021-02-25-01-21-24-674_com.android.chrome.jpg
 
Utadhani Allien yan hajapendeza hata Nukta[emoji23][emoji23][emoji2957][emoji2957]
 
Msiwa-over-rate hawa vijana. Wanatafuta hela na bado hawajatoka kuwawekea mabei ya juu wakati uwezo huo hawajafikia ni kuwabebesha mizigo ya misumali. Waliugua wasanii wakubwa mpk tukachangishwa hapa nchini wakati tuliaminishwa wanapata hela nyingi sana. RIP Ruge, Sajuki, Mzee Majuto, Ngwea na wengine. Mlipofariki ndio tuliona picha halisi kwa hao niliowataja wengine hawakua hata na makazi wanayomiliki mbali na sifa nyingi hapa nchini
Msiba wa ruge ulifichua mambo mengi sana nyuma ya pazia....
 
Hiyo yepo ndio ya million mbili?? Au ni million mbili ya Zimbabwe [emoji867][emoji867][emoji1787]wabongo mna kiki za kisenge kweli
 
Vitakosaje? 🤣 🤣 🤣. We hujaona Iphone X famba zimejaa kariakooo na watu wanapigwa kama kawa?
Hvi kuna iPhone fake ?! May be uuziwe used alaf udanganywe ni mpya .....!! Anyway yote yanawezekana
 
Back
Top Bottom