Zuchu avaa kiatu cha zaidi ya Tshs. Milioni 2

Zuchu avaa kiatu cha zaidi ya Tshs. Milioni 2

Sina neno endapo wanavaa wapendavyo. Ila napata ukakasi pindi wanapoumwa kuja kuomba msaada kwa wananchi.
 
Ni wakati wake huu wakututambia,lakini ukifika wakati wakupitisha bakuli la matibabu India tukiuchuna asisilalamike tumemtenga.
 
Kanye West hii mindude alichemka. Fashion na style zingine za ovyoovyo sana. By the way, kupanga ni kuchagua, hongera kwake kama alivutiwa na kuvuta hiyo mindude.

Note: Wabongo tupunguze machuki. Tukosoe mleta mada na hayo mandude na sio huyu poor innocent girl wa watu.
 
Halafu Kanye ni Psychiatric case.

Anadesign madabwada wafuasi wake wanadhani ni fashion, kumbe mwenzao ni MWEHU [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
dola 75 i nkama laki na sabini ni bei rahisi kabisa hakuna boda 2
 
Uchumi wa Kati .. itakuwa wew ndo umemununulia Hadi Bei unajuwa ...uchumi wa blue
 
Mbona kaajiriwa ToT, CCM wanatoa msharaha mdogo au ndivyo alivyo.
Kazi za TOT hadi kipindi cha kampeni..afu ulizia mishahara ya ccm ndio utajua,unadhani mzee baba kampa Polepole ubunge kwa sababu gani
 
Kazi za TOT hadi kipindi cha kampeni..afu ulizia mishahara ya ccm ndio utajua,unadhani mzee baba kampa Polepole ubunge kwa sababu gani
Nilishamsikia yule "Asuuu" anasema wanalipwa mishahara, haijalishi kama kuna kazi au hakuna.
 
Back
Top Bottom