funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,624
- 21,362
Msiwa-over-rate hawa vijana. Wanatafuta hela na bado hawajatoka kuwawekea mabei ya juu wakati uwezo huo hawajafikia ni kuwabebesha mizigo ya misumali. Waliugua wasanii wakubwa mpk tukachangishwa hapa nchini wakati tuliaminishwa wanapata hela nyingi sana. RIP Ruge, Sajuki, Mzee Majuto, Ngwea na wengine. Mlipofariki ndio tuliona picha halisi kwa hao niliowataja wengine hawakua hata na makazi wanayomiliki mbali na sifa nyingi hapa nchini