Zuchu avaa kiatu cha zaidi ya Tshs. Milioni 2

Hivyo viatu ni vibaya sana kuanzia muonekano wake. Mimi hata 20k sitoi.
 
Unamjua mchina wewe na balaa lake...kashapiga kopi mda sana...nyie endeleeni kujitekenya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…