Tetesi: Zuchu & Damond , New Couple In Town...

Diamond anaweza kuwa the most successful artist in Tanzania but doesn't class at all. Deep down bado ni mtoto wa tandale.
 
Nikashangaa mbona promo limekua kubwa sana Kumbe Promo lilichagizwa na kupigwa miti

Toka kwa Zari, Hamissa, Tanasha mpaka Kwa Zuchu flat [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂
 
Mti mchanga matunda yake ni matamu hasa matunda mchomoko yanayoangazia kwa malaika wa kaya
 
Nikashangaa mbona promo limekua kubwa sana Kumbe Promo lilichagizwa na kupigwa miti

Toka kwa Zari, Hamissa, Tanasha mpaka Kwa Zuchu flat [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hakuna cha bure mjini

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mahusiano,kupenda,kupendwa hayaangalii mtu yuko level gani hao wa viwango mbona hakuwaoa Chibu ataoa Mwanamke wa kawaida sana sio hao wa kiki.

Kweli lakini

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi ww ni jinsia ya Ke samahani lakini.

Ata tanasha, zari nao walianzia uko uko uswazi na kuwa stars ni kitu cha kawaida tu na pesa ndo inaongea
 
Wewe ni mwanga tena unawanga mchana kweupe, aliye kwambia mwanaume anaoa au anadate na mwanamke ili aendeleze career yake nani? Mapenzi hayahusishwi na kitu chochote.

Yule ni Msanii lazima aangalie partner wa kuwa nae watakaesaidiana idea tofauti binamu ukizingatia Diamond hajasoma na hana exposure sana so akioa mtu ambaye hana elimu kama yeye na exposure kidogo Itakua issue

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama ni kweli na harusi ikiwadia Mama D na Khadija Kopa sijui nani amemzidi mwenzake Uswahili.

Khadija kopa shangingi la miaka hiyo , mama domo ushangingi kaanza juzi baada ya mwanae kupata pesa... sasa hiv nasikia mashoga hatar ila soon watakuja kugombana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Diamond anaweza kuwa the most successful artist in Tanzania but doesn't class at all. Deep down bado ni mtoto wa tandale.

True that , you can’t change your root

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Khadija kopa shangingi la miaka hiyo , mama domo ushangingi kaanza juzi baada ya mwanae kupata pesa... sasa hiv nasikia mashoga hatar ila soon watakuja kugombana

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ingependeza mama D arudi Tandale awe jirani na mkwe wake pale Mwananyala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…