Sijakataaah Ila nmesema hiv rubby kwa Vanessa hat dunia igeuke hawez kumfikia,Vanessa kafika mbali ila kwa kipaji cha ruby, akikubali kujishusha plus nice management. Anaweza kupita alipofika vee..
hata Yemi alikubali kuwa Ruby is a great vocalist "hope you know what it means"
Poleeeeeeh yakoooh muache vee money atulie amejipa likizo, still anatesa vilivyo na hakna wa kumfikia kwa wanawake wenzakeMbona uliowataja ni wasanii wanaofanya vizuri ukimtoa Vanessa mdee ambaye amewekeza kwenye mapenzi
Exposure ndo kitu muhimu kuhusu sauti hat kasuku anayo.Yeah Vee Money kinachomsaidia pia ni exposure aliyonayo, ila kwa sauti nzuri bongo sijaona kama Ruby sema tu kiburi chake ndiyo kinamfifisha.
Tukiongelea mwanamuziki wa kike, hakuna kama yeye ila wasanii wa kike wapo wengi sanaRuby akiacha attitude za kidiva na kuropoka.. bongo hii hakuna wa kumgusa
Kuna msanii na Mwanamuziki..Mnamu-overrate Sana Ruby na akiskia hivo ndo Bichwa Linazidi Yaani. .... Kipaji anacho ndiyo hatujakataa ila it's Too Much! Kwani Sauti ndo Nini? Yaani unaanzaje kumweka Vee na Ruby Kwenye kundi moja?
Suala La sauti ni "Subjective" kulingana na taste ya msikilizaji ndo maana hta Davido na sauti Yake km Chura Wa Bwawani lakini We Can Say Kwa Sasa Ndo Ameshikilia Keys za Mziki wa Afrika.
Bongo hakuna msanii mkubwa wa kike kama Vee. Period. Japo namueshimu Sana Jide.
Alafu mtoa Mada Pale Wasafi Una hisa Kiasi Gani?
Haya
Hata mimi Vee Money ndiyo msanii wa kike ninayemkubali kuliko wooote Tanzania, ila penye ukweli tuweke ushabiki pembeni.Mnamu-overrate Sana Ruby na akiskia hivo ndo Bichwa Linazidi Yaani. .... Kipaji anacho ndiyo hatujakataa ila it's Too Much! Kwani Sauti ndo Nini? Yaani unaanzaje kumweka Vee na Ruby Kwenye kundi moja?
Suala La sauti ni "Subjective" kulingana na taste ya msikilizaji ndo maana hta Davido na sauti Yake km Chura Wa Bwawani lakini We Can Say Kwa Sasa Ndo Ameshikilia Keys za Mziki wa Afrika.
Bongo hakuna msanii mkubwa wa kike kama Vee. Period. Japo namueshimu Sana Jide.
Alafu mtoa Mada Pale Wasafi Una hisa Kiasi Gani?
Nafikiri ni msanii na muimbajiKuna msanii na Mwanamuziki..
Kwa Msanii la Hasha hakuna kama Vanessa Mdee ila kwa mwanamuziki Hapajawahi kutokea kama Ruby.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitendo Cha kusema rayvanny Ni msanii mbovu umeonesha jinsi gani mziki ujuiWcb, Tatizo wanasajiri wasanii wabovu. @ Queen. Darlin na rayvanny Mimi sijui wanaimba nn.
Kitendo Cha kusema rayvanny Ni msanii mbovu umeonesha jinsi gani mziki ujui
Mnazareth Hamna Utofauti wa hivyo mzee. NI Propaganda Tu Hizo Na Twisting Ya Language.
Kwa hyo Ruby Ni Mwanamuziki mzuri Kumshinda Vee kwa sababu Ruby Ana sauti Kali kuliko Vee? Does that even make sense?
Ukiwa Mwanamuziki upende usipende utaingia tu kwenye Kundi La wasanii. Msanii ni general term comprising wachoraji, wachongaji, waigizaji, wanamuziki etc. Kwa hyo Uwezi Kuwa Mwanamuziki ukakataa Cheo Cha Usanii.
Both Vee na Ruby ni wanamuziki na wasanii utofauti ni Ile branding Tu na Fan base ambayo Vee Kamuacha Huyo Ruby A Mile Away.
Talking Of Sauti Kuna Wimbo Vee Kaimba Unaitwa "Never Ever" Opera Version kaicheki umetoka last year I think alafu utaona ye ni Mwanamuziki au msanii.
Vee is Underrated.
Vee is not underrated, ila Ruby unamuona vile sababu ya kiburi chake na management mbaya ila isingekuwa hivyo saa hii tungekuwa tunazungumza habari nyingine.@zoe ukweli Upi?
Yeah Vee Money kinachomsaidia pia ni exposure aliyonayo, ila kwa sauti nzuri bongo sijaona kama Ruby sema tu kiburi chake ndiyo kinamfifisha.
Mnazareth Hamna Utofauti wa hivyo mzee. NI Propaganda Tu Hizo Na Twisting Ya Language.
Kwa hyo Ruby Ni Mwanamuziki mzuri Kumshinda Vee kwa sababu Ruby Ana sauti Kali kuliko Vee? Does that even make sense?
Ukiwa Mwanamuziki upende usipende utaingia tu kwenye Kundi La wasanii. Msanii ni general term comprising wachoraji, wachongaji, waigizaji, wanamuziki etc. Kwa hyo Uwezi Kuwa Mwanamuziki ukakataa Cheo Cha Usanii.
Both Vee na Ruby ni wanamuziki na wasanii utofauti ni Ile branding Tu na Fan base ambayo Vee Kamuacha Huyo Ruby A Mile Away.
Talking Of Sauti Kuna Wimbo Vee Kaimba Unaitwa "Never Ever" Opera Version kaicheki umetoka last year I think alafu utaona ye ni Mwanamuziki au msanii.
Vee is Underrated.
Sahihi kabisa, mimi Vee nimemuweka level za juu sawa na Diamond.Vee exposure kubwa,visionary na hustler kiukweli..
Anajua kuinvest sana. Yaani isingekuwa upuuzi wa mateam bhasi alitakiwa apewe hadhi kubwa next to diamond