Zuchu kutambulishwa rasmi WCB Wasafi

Zuchu kutambulishwa rasmi WCB Wasafi

kama ulivyoniahidi zuchu my wife to be kwamba utakuwa na mimi hata milele unaenda kujulikana na dunia usiniache... hayo ni maneno ya baharia mmoja yalisikika yakisema
 
Mnazareth Hamna Utofauti wa hivyo mzee. NI Propaganda Tu Hizo Na Twisting Ya Language.

Kwa hyo Ruby Ni Mwanamuziki mzuri Kumshinda Vee kwa sababu Ruby Ana sauti Kali kuliko Vee? Does that even make sense?

Ukiwa Mwanamuziki upende usipende utaingia tu kwenye Kundi La wasanii. Msanii ni general term comprising wachoraji, wachongaji, waigizaji, wanamuziki etc. Kwa hyo Uwezi Kuwa Mwanamuziki ukakataa Cheo Cha Usanii.

Both Vee na Ruby ni wanamuziki na wasanii utofauti ni Ile branding Tu na Fan base ambayo Vee Kamuacha Huyo Ruby A Mile Away.

Talking Of Sauti Kuna Wimbo Vee Kaimba Unaitwa "Never Ever" Opera Version kaicheki umetoka last year I think alafu utaona ye ni Mwanamuziki au msanii.

Vee is Underrated.
Ok nimekupata mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasafi wamesema saa 3 usiku Huu rasmi atatambulishwa yah inaonekana ni zuchu Kama mtoa mada alivyosema ila Wasafi wanambwembwe naona maandalizi wanayofanya kumtambulisha Kama vile inazinduliwa album.
 
Zuchu amekuja kuwashika,kaeni mkao wa kula
92136528_2559015517683663_4996881431679467520_n.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes Upo Sahihi...

Mwanamuziki ni hadhi kubwa zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah tafsiri ya kawaida ya mwanamuziki ni mtu anayeweza kuimba pamoja na kupiga ala za muziki mfano kinanda na gitaa ambaye kwa kiingereza huitwa musician, msanii ni artist na muimbaji ni singer.
 
Yeah tafsiri ya kawaida ya mwanamuziki ni mtu anayeweza kuimba pamoja na kupiga ala za muziki mfano kinanda na gitaa ambaye kwa kiingereza huitwa musician, msanii ni artist na muimbaji ni singer.
Kati ya hawa wafuatao kuna musician ?
1. Chris Brown
2. Drake
3. Justin Timberlake
4. R Kelly
5. Alicia Keys
 
Kati ya hawa wafuatao kuna musician ?
1. Chris Brown
2. Drake
3. Justin Timberlake
4. R Kelly
5. Alicia Keys
Alicia Keys Mucisian anapiga Piano na Drum pamoja na kuimba.

Drake anarap na kuimba ,wengine waliobakia wote ni waimbaji.
 
Back
Top Bottom