Zuchu kutambulishwa rasmi WCB Wasafi

Zuchu kutambulishwa rasmi WCB Wasafi

Vanessa kafika mbali ila kwa kipaji cha ruby, akikubali kujishusha plus nice management. Anaweza kupita alipofika vee..

hata Yemi alikubali kuwa Ruby is a great vocalist "hope you know what it means"
Sijakataaah Ila nmesema hiv rubby kwa Vanessa hat dunia igeuke hawez kumfikia,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnamu-overrate Sana Ruby na akiskia hivo ndo Bichwa Linazidi Yaani. .... Kipaji anacho ndiyo hatujakataa ila it's Too Much! Kwani Sauti ndo Nini? Yaani unaanzaje kumweka Vee na Ruby Kwenye kundi moja?

Suala La sauti ni "Subjective" kulingana na taste ya msikilizaji ndo maana hta Davido na sauti Yake km Chura Wa Bwawani lakini We Can Say Kwa Sasa Ndo Ameshikilia Keys za Mziki wa Afrika.

Bongo hakuna msanii mkubwa wa kike kama Vee. Period. Japo namueshimu Sana Jide.

Alafu mtoa Mada Pale Wasafi Una hisa Kiasi Gani?
 
Kuna msanii na Mwanamuziki..

Kwa Msanii la Hasha hakuna kama Vanessa Mdee ila kwa mwanamuziki Hapajawahi kutokea kama Ruby.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnamu-overrate Sana Ruby na akiskia hivo ndo Bichwa Linazidi Yaani. .... Kipaji anacho ndiyo hatujakataa ila it's Too Much! Kwani Sauti ndo Nini? Yaani unaanzaje kumweka Vee na Ruby Kwenye kundi moja?

Suala La sauti ni "Subjective" kulingana na taste ya msikilizaji ndo maana hta Davido na sauti Yake km Chura Wa Bwawani lakini We Can Say Kwa Sasa Ndo Ameshikilia Keys za Mziki wa Afrika.

Bongo hakuna msanii mkubwa wa kike kama Vee. Period. Japo namueshimu Sana Jide.

Alafu mtoa Mada Pale Wasafi Una hisa Kiasi Gani?
Hata mimi Vee Money ndiyo msanii wa kike ninayemkubali kuliko wooote Tanzania, ila penye ukweli tuweke ushabiki pembeni.
 
Mnazareth Hamna Utofauti wa hivyo mzee. NI Propaganda Tu Hizo Na Twisting Ya Language.

Kwa hyo Ruby Ni Mwanamuziki mzuri Kumshinda Vee kwa sababu Ruby Ana sauti Kali kuliko Vee? Does that even make sense?

Ukiwa Mwanamuziki upende usipende utaingia tu kwenye Kundi La wasanii. Msanii ni general term comprising wachoraji, wachongaji, waigizaji, wanamuziki etc. Kwa hyo Uwezi Kuwa Mwanamuziki ukakataa Cheo Cha Usanii.

Both Vee na Ruby ni wanamuziki na wasanii utofauti ni Ile branding Tu na Fan base ambayo Vee Kamuacha Huyo Ruby A Mile Away.

Talking Of Sauti Kuna Wimbo Vee Kaimba Unaitwa "Never Ever" Opera Version kaicheki umetoka last year I think alafu utaona ye ni Mwanamuziki au msanii.

Vee is Underrated.
 
@zoe ukweli Upi?
Vee is not underrated, ila Ruby unamuona vile sababu ya kiburi chake na management mbaya ila isingekuwa hivyo saa hii tungekuwa tunazungumza habari nyingine.

Na ndiyo maana yule jamaa akasema Ruby isingekuwa vile alivyo angekuwa mbali sana, kwa sasa hatuwezi kumfananisha na Vee ila angebadilisha mwenendo wake angemzidi.
 
Yeah Vee Money kinachomsaidia pia ni exposure aliyonayo, ila kwa sauti nzuri bongo sijaona kama Ruby sema tu kiburi chake ndiyo kinamfifisha.

Vee exposure kubwa,visionary na hustler kiukweli..
Anajua kuinvest sana. Yaani isingekuwa upuuzi wa mateam bhasi alitakiwa apewe hadhi kubwa next to diamond
 
Mnazareth Hamna Utofauti wa hivyo mzee. NI Propaganda Tu Hizo Na Twisting Ya Language.

Kwa hyo Ruby Ni Mwanamuziki mzuri Kumshinda Vee kwa sababu Ruby Ana sauti Kali kuliko Vee? Does that even make sense?

Ukiwa Mwanamuziki upende usipende utaingia tu kwenye Kundi La wasanii. Msanii ni general term comprising wachoraji, wachongaji, waigizaji, wanamuziki etc. Kwa hyo Uwezi Kuwa Mwanamuziki ukakataa Cheo Cha Usanii.

Both Vee na Ruby ni wanamuziki na wasanii utofauti ni Ile branding Tu na Fan base ambayo Vee Kamuacha Huyo Ruby A Mile Away.

Talking Of Sauti Kuna Wimbo Vee Kaimba Unaitwa "Never Ever" Opera Version kaicheki umetoka last year I think alafu utaona ye ni Mwanamuziki au msanii.

Vee is Underrated.

Vee kwa sasa ndo best female artist sio kwa Tanzania tu hadi EA ila sio "the most talented wala the best musically"...

Ukija kwa Ruby, namfananisha na legendary whitney Houston. Sio kwa vocal ranges ila both wana vocals kali ila sio writers yaani wao watungiwe nyimbo then waimbe so, hawana nguvu kibiashara bila back up ya watu

Ruby ana ego na attitude za kidiva. Hapo anakwama lakini ana talent kubwa ndo maana atazimwa ila akipata writer mkali.. lazma atoe HIT.. so hayupo anapostahili kuwapo.. abadilike nd thats final
 
Vee exposure kubwa,visionary na hustler kiukweli..
Anajua kuinvest sana. Yaani isingekuwa upuuzi wa mateam bhasi alitakiwa apewe hadhi kubwa next to diamond
Sahihi kabisa, mimi Vee nimemuweka level za juu sawa na Diamond.
 
Back
Top Bottom