Zuchu kutambulishwa rasmi WCB Wasafi

kama ulivyoniahidi zuchu my wife to be kwamba utakuwa na mimi hata milele unaenda kujulikana na dunia usiniache... hayo ni maneno ya baharia mmoja yalisikika yakisema
 
Acha kumkosea adabu jide kijana.
 
Ok nimekupata mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasafi wamesema saa 3 usiku Huu rasmi atatambulishwa yah inaonekana ni zuchu Kama mtoa mada alivyosema ila Wasafi wanambwembwe naona maandalizi wanayofanya kumtambulisha Kama vile inazinduliwa album.
 
Yes Upo Sahihi...

Mwanamuziki ni hadhi kubwa zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah tafsiri ya kawaida ya mwanamuziki ni mtu anayeweza kuimba pamoja na kupiga ala za muziki mfano kinanda na gitaa ambaye kwa kiingereza huitwa musician, msanii ni artist na muimbaji ni singer.
 
Yeah tafsiri ya kawaida ya mwanamuziki ni mtu anayeweza kuimba pamoja na kupiga ala za muziki mfano kinanda na gitaa ambaye kwa kiingereza huitwa musician, msanii ni artist na muimbaji ni singer.
Kati ya hawa wafuatao kuna musician ?
1. Chris Brown
2. Drake
3. Justin Timberlake
4. R Kelly
5. Alicia Keys
 
Kati ya hawa wafuatao kuna musician ?
1. Chris Brown
2. Drake
3. Justin Timberlake
4. R Kelly
5. Alicia Keys
Alicia Keys Mucisian anapiga Piano na Drum pamoja na kuimba.

Drake anarap na kuimba ,wengine waliobakia wote ni waimbaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…