Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Umeshaisikia ngoma yake ambayo haiko kwenye platform yoyote inasikika Wasafi fm pekee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshaisikia ngoma yake ambayo haiko kwenye platform yoyote inasikika Wasafi fm pekee?
_@OfficialZuchu account yake official haina followers hata 5K.
Kesho ndo utaanza kuona mafuriko ya followers
Ila sio mbaya ukituwekea picha zake mbilitatu tumthaminishe[emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila sio mbaya ukituwekea picha zake mbilitatu tumthaminishe[emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
Usimfananishe Vee Money na Mambo ya kijinga khaaaaah.Hatimaye zamu ya Zuchu imewadia.
Mtoto wa Khadija Kopa rasmi sasa kutambulishwa Wasafi.
Amekaa benchi kwa miaka karibu mitano.
Ukubwa wa kipaji chake ni Jide+Nandy+Vanessa Mdee.
Tanzania inaenda kupata malkia mpya wa bongofleva.
Hongera Wasafi hongera Tanzania.
Lavalava, Kwin dalinyi nao ni mastaa?wanachonikera WCB yani hata wamtambulishe jiwe atakua super staa tu
Ataliwa hadi achakae
Ndo yeye buda
Umemind jamaa anajua habari za ndani za wcb kuliko wewe?We umejuaje huyo msanii watakaomtambulisha WCB Ni zuchu? Maana WCB hawajasema Ni msanii gani
Nimind kwasababu gani?mbona una ushabiki wa kijinga sana alafu wewe ni mtu mzima ebu acha kuact Kama mtoto wa shule ya msingi.Umemind jamaa anajua habari za ndani za wcb kuliko wewe?
Nilishangaa nisingekukuta huku,ila tushazizoea -ve comment zako kwa WCB.Hapo Jamaa keshamtafuna vya kutosha sasa ndo anamleta kwa Wadau,. Muombeeni aepuke mziki wa matusi aje na style yake
Hakana post hatamoja tayari followers elfu tano, watuma nauli watupu