Zuchu kutambulishwa rasmi WCB Wasafi

Zuchu kutambulishwa rasmi WCB Wasafi

@OfficialZuchu account yake official haina followers hata 5K.

Kesho ndo utaanza kuona mafuriko ya followers
_
Screenshot_20200407-201054.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimaye zamu ya Zuchu imewadia.

Mtoto wa Khadija Kopa rasmi sasa kutambulishwa Wasafi.

Amekaa benchi kwa miaka karibu mitano.

Ukubwa wa kipaji chake ni Jide+Nandy+Vanessa Mdee.

Tanzania inaenda kupata malkia mpya wa bongofleva.

Hongera Wasafi hongera Tanzania.
Usimfananishe Vee Money na Mambo ya kijinga khaaaaah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wa kike au kiume......je ukiweka kapicha kake utapata hasara kiasi gani tukuchangie?
 
Hapo Jamaa keshamtafuna vya kutosha sasa ndo anamleta kwa Wadau,. Muombeeni aepuke mziki wa matusi aje na style yake
 
Back
Top Bottom