Zuchu, mdada anayeamini pombe tu ndiyo dhambi lakini siyo muziki na mavazi yasiyo na staha!

Zuchu, mdada anayeamini pombe tu ndiyo dhambi lakini siyo muziki na mavazi yasiyo na staha!

Mtu kufanya uovu haimzuii kukataa uovu. Kinachotakiwa ni kuendelea kuacha uovu.

Mzinifu hawez kataa kuswal kisa yeye ni mzinifu isipokuwa anapaswa kufanya awezavyo aache uzinifu.

Kuvaa kishetani haimzuii Zuchu kukataa kutangaza pombe isipokuwa anapaswa kumuomba Mwenyez amjaalie hata dhambi ya kuvaa kishetani aweze kuiachw
 
Angalia alivyovaa na kujiachia! Lkn ni huyu huyu Zuchu aliyekataa kufanya tangazo la pombe (siyo kunywa pombe) kwa madai kuwa ni kinyume cha matakwa ya dini yake.

Kungwi Sexless hajafurahishwa na undumila kuwili huu.

View attachment 2336885
Usimuhukumu maana wengi ndo tupo hivyo, utakuta mtu hali kitu fulani kwa sababu za kidini ila pombe na uzinzi kaweka mbele, unabaki kujiuliza labda kuna dhambi kubwa na ndogo (zinazosamehewa na zisizosamehewa)
 
Nadhani hizi dini tulizipokea vibaya
 
Back
Top Bottom