Zuchu na Diamond wanatarajia kupata mtoto wa kike

Zuchu na Diamond wanatarajia kupata mtoto wa kike

Mara Zuchu atangaza kuachana na Diamond mara nini! Tumewachoka sasa, msi-force kuwafuatilia nyinyi tu ili hali kuna mambo kedekede tunayapambania kwa ajili ya kesho iliyo njema kwa watoto wetu katika taifa lao teule lenye maziwa na asali.
 
Siku hizi kukwapua pesa za watu ni akili tu. Hapo babyshower watu zimewatoka pesa kibao ati zawadi bado akijifungua watu zitawatoka nyingine bado arobain and birthdays
 
Watu wanataka ukomboz ayo mambo ya baby nini sijui kamwambie juma lokole au mwijaku

Ukombozi na watanzania wapi na wapi? Kwa hii generation ya watu wasio jielewa ni ndoto tu.
October 29, 2025 ndio nilikuwa disappointed na watanzania. Jiji la Dar es salaam lina wakazi milioni 8 kama sikosei. Wote walikuwa wapi? Watu laki 2 tu walitosha kuchukua mitaa ya katikati ya jiji na baada ya masaa 24 mapinduzi yangefanikiwa
 
Back
Top Bottom