Zuchu ndio msanii namba moja kwa sasa bongo

Zuchu ndio msanii namba moja kwa sasa bongo

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Kwa mujibu wa YouTube ambayo ndio platform fair kwa sasa Tanzania kupima nguvu ya msanii.

Zuchu ndio msanii namba moja kwa sasa.

Amefanikiwa kukamata chati za Youtube kwa akaunti yake mwenyewe na nyimbo yake mwenyewe bila mbeleko.

Nilisikia mtaalam mmoja wa mambo ya muziki akisema Zuchu amekuja kuichukua bongofleva yake.

"Chozi dibwi dibwi nachanganyikiwa na vilio sishikiki/ Nipo magharibi lizamapo jua wewe upo mashariki."

Moja ya mistari ninayoipenda sana kwenye ngoma yake ya Nisamehe.

IMG_20200522_144707.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Zuchu ni dini gani?Mbona anatoa video nusu uchi mwezi mtukufu?Hata wakristo wanaheshimu huu mwezi wame tulia kusubiri mwezi upite..

Yeye hana dini?
Ni mtoto wa Bi Khadija muislam swafi kabisa, funga yake naona inapaswa tumuachie yeye na Mungu wake, au tukuachie wewe hukumu yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom