sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Kwa mujibu wa YouTube ambayo ndio platform fair kwa sasa Tanzania kupima nguvu ya msanii.
Zuchu ndio msanii namba moja kwa sasa.
Amefanikiwa kukamata chati za Youtube kwa akaunti yake mwenyewe na nyimbo yake mwenyewe bila mbeleko.
Nilisikia mtaalam mmoja wa mambo ya muziki akisema Zuchu amekuja kuichukua bongofleva yake.
"Chozi dibwi dibwi nachanganyikiwa na vilio sishikiki/ Nipo magharibi lizamapo jua wewe upo mashariki."
Moja ya mistari ninayoipenda sana kwenye ngoma yake ya Nisamehe.
Sent using Jamii Forums mobile app