sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Hajafikisha ata miezi miwili kashafunika wasanii wote wa kike east afrca, sasa ameanza nyoosha wakiume mmoja mmoja.
[emoji23]Hajafikisha ata miezi miwili kashafunika wasanii wote wa kike east afrca, sasa ameanza nyoosha wakiume mmoja mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajafikisha ata miezi miwili kashafunika wasanii wote wa kike east afrca, sasa ameanza nyoosha wakiume mmoja mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wajinga wanajaribu kumshindanisha star wetu Zuchu na watu wasioeleweka
Kipaji cha ajabu anaimba vizuri kama muimba kwaya wa mungu.Huyo ni super stalet yaani kavuka mionzi ya jua
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mtoto alivyokuwa mtaalam amekuchanganyia bongofleva akakuwekea taarab kidogo na radha za muscat kwa mbaaali kama wurylain... Basi ilimradi Africa imeinuliwa.Hamna kitu hapo..waimba taarab na bongo fleva wapi na wapi
Acha choyo utapakuliwa mzee baba yani unaona wivu mimi kumzungumzia vizuri mtoto wa watu...ungependa nije kumtukanaUmetumwa ww sio bure
napakuliwa na liwa vyote kwa pamojaAcha choyo utapakuliwa mzee baba yani unaona wivu mimi kumzungumzia vizuri mtoto wa watu...ungependa nije kumtukana
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi napenda kasura chake ila lile pozi la kukaza shingo ajitahidi aliache.Kingine napenda chuchu zake huyo zuchu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni mtoto wa Bi Khadija muislam swafi kabisa, funga yake naona inapaswa tumuachie yeye na Mungu wake, au tukuachie wewe hukumu yake?Huyu Zuchu ni dini gani?Mbona anatoa video nusu uchi mwezi mtukufu?Hata wakristo wanaheshimu huu mwezi wame tulia kusubiri mwezi upite..
Yeye hana dini?