Zuchu ndio msanii wa kike anaeongoza East Africa kwa subscribers YouTube

We umeona evidence gani kuwa wcb wananunua views?
 
Hivi nini faida ya subscribers, followers?? Je ukiwa na subscribers wengi unalipwa?? Baada ya muda GANI??
Subscribers wanasaidia wasanii wakitoa nyimbo iwe rahisi kuiona au kupata notification mapema Kama ameset
 
Akiwa na miezi 7 tu kwenye game, Zuchu kwa sasa ndio msanii wa kike namba moja YouTube.

Amefikisha subscribers 547.View attachment 1620708
Kuna watu humu duniani wana bahati sana, ila niwasifu WCB ni wanajua kucheza na marketing and branding. Diamond siyo mtu mzuri kabisa anaweza kukuuzia jiwe kama pet ukamuacha muuza paka.
Personally, sijawahi kumkubali zuchu kabisa namuona wa kawaida sana sana. Ila Diamond kambrand na kafanya kazi yake. Hawa WCB kwakweli wako juu sana huwezi compare na yoyote hapa tz kwa jinsi wanavyojua kucheza na industry.
The good thing ni kwamba wanafanya hawafanyi fanyi
 
Bravo
 
Umetoa point kwa mfano wa mahakamani nimecheka sana na umeeleweka sana ,,,,hoja kuwa ZUCHU anaongoza kwa WASANII wa kike EA kuwa na subscribers wengi zaidi naipinga KANSIIME ANNE wa Uganda ana subscribers 1.06 M ,,,hoja nilivyoelewa ni wasanii asije sema anaongelea wanamuziki tu .
 
uyo Kansime na yeye ni mwanamuziki ama ndo mahaba yakizid sana hua mnajitoa ufahamu?

kinacho zungumziwa hapa ni upande wa wasanii wa kike upande wa muziki ww una mleta kansiime ambae yeye ni komedian wapi na wapi mzee?
 
Hayo mambo mbona yapo sana, ila bongo watu vichwa ni vigumu. Kama unafatilia majuu huko hizo kesi mbona zipo tele
 
uyo Kansime na yeye ni mwanamuziki ama ndo mahaba yakizid sana hua mnajitoa ufahamu?

kinacho zungumziwa hapa ni upande wa wasanii wa kike upande wa muziki ww una mleta kansiime ambae yeye ni komedian wapi na wapi mzee?
Rejea nanukuu " Zuchu ndio msanii was kike anaeongoza East Africa kwa subscribers YouTube " niambie ni wapi kafafanua kuwa anazungumzia WANAMUZIKI? ,,,MSANII ipo general wote wanaofanya sanaa .
 
Rejea nanukuu " Zuchu ndio msanii was kike anaeongoza East Africa kwa subscribers YouTube " niambie ni wapi kafafanua kuwa anazungumzia WANAMUZIKI? ,,,MSANII ipo general wote wanaofanya sanaa .
Wivu.com yeye kazungumzia kwa wanamuziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…