The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
We umeona evidence gani kuwa wcb wananunua views?Mpingeni kwa hoja msimuite hajui kitu wakati ana evidence za akiandikacho,mahakamani watu wanafungwa hivi hivi hakimu anakwambia jiteteee unabaki kusema "haki ya mungu hakimu sijaiba mimi" hakimu anarudia tena mshatakiwa jiteteee mshtakiwa anarudia "hakimu mungu ananiona kama nakudanganya nife leo.
Hakimu anafunga utetezi anatoa hukumu,mshtakiwa utaenda jela kwa miaka mitano,ndio unaskia mtu akipiga ukunga kama kanyooshewa bastola.
Mnaomchora mwenzenu kuwa hajui kitu,wekeni data zenu kuthibitisha kuwa hajui kuliko nyie mnavyojua,acheni maneno maneno kama hamna hoja za kutetea mnachokiamini.