sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Akiwa na miezi 7 tu kwenye game, Zuchu kwa sasa ndio msanii wa kike namba moja YouTube.
Amefikisha subscribers 547.
Amefikisha subscribers 547.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale usafini wanakitabia cha kununua Subscribers, like, folllowes, Views.....ili waboost Brand yao over.Akiwa na miezi 7 tu kwenye game, Zuchu kwa sasa ndio msanii wa kike namba moja YouTube.
Amefikisha subscribers 547.View attachment 1620708
👍👍Akiwa na miezi 7 tu kwenye game, Zuchu kwa sasa ndio msanii wa kike namba moja YouTube.
Amefikisha subscribers 547.View attachment 1620708
Zinauzwa bei gani na wengine wawe wananunua?Pale usafini wanakitabia cha kununua Subscribers, like, folllowes, Views.....
Nasubiri jibu piaZinauzwa bei gani na wengine wawe wananunua?
Subiri matokeo utafurahiHuyu pimbi kafikia wapi kwenye zile tuzo ambazo alikua anaowaomba mashabiki wake mumpe shavu?
YouTube Views $27 - 5000Zinauzwa bei gani na wengine wawe wananunua?
Duh kumbe mpaka zile comments zinanunuliwa [emoji23] [emoji23]... Kweli ni biashara nzuri.Youtube Custom Comments
If you are looking for custom comments to go along with your 5000 views, buy now.
Start time: 12 Hours
Speed: 1K+/ Day
High quality comments from aged accounts. Never drop. Lifetime warranty.
$20 Gets you 50 custom comments
You will send us the comments you would like, or you can choose random comments.
By Clicking "Buy Comments" you are agreeing to the Terms and Conditions.
$20.00
X item(s)
Buy Comments
Duh kumbe mpaka zile comments zinanunuliwa [emoji23] [emoji23]... Kweli ni biashara nzuri.
Kwa hiyo na YouTube nao wanawalipa watu wanaonunua views na comments?
Duh kumbe mpaka zile comments zinanunuliwa [emoji23] [emoji23]... Kweli ni biashara nzuri.
Kwa hiyo na YouTube nao wanawalipa watu wanaonunua views na comments?
Achana nae Muongo huyo kwanza msanii hawezi kufanya biashara hiyo ya kipuuzi maana hao youtube wenyewe kwa maelezo ya Diamond viewers 1M wanalipa katiya laki 9 mpaka milioni 1 halgu linganisha na huyo jamaa anachosema kama msanii hajapata hasara.
Kijana una ujinga mwingiPinga kwa hoja bro Buying YouTube Views | How much do they cost?
[emoji16][emoji16][emoji16] unaujanja mwingi SanaKijana una ujinga mwingi
Wewe jamaa unaleta vitu vya ovyo Sana Sasa hapo Cha ajabu Ni kipi yeye kufikisha 547k subscribe? Mpaka usiseme ananunua je akifisha 1b ungesemaje[emoji16][emoji16][emoji16] unaujanja mwingi Sana
Rudi shule ukafute ujinga, unajichoresha ulivyo mtupu.Pinga kwa hoja bro Buying YouTube Views | How much do they cost?
Nilikuwa namuinjoi tu, hakuna anachojua.Achana nae Muongo huyo kwanza msanii hawezi kufanya biashara hiyo ya kipuuzi maana hao youtube wenyewe kwa maelezo ya Diamond viewers 1M wanalipa katiya laki 9 mpaka milioni 1 halgu linganisha na huyo jamaa anachosema kama msanii hajapata hasara.