Zuchu ndio msanii wa kike anaeongoza East Africa kwa subscribers YouTube

Zuchu ndio msanii wa kike anaeongoza East Africa kwa subscribers YouTube

Youtube Custom Comments

If you are looking for custom comments to go along with your 5000 views, buy now.

Start time: 12 Hours
Speed: 1K+/ Day

High quality comments from aged accounts. Never drop. Lifetime warranty.

$20 Gets you 50 custom comments

You will send us the comments you would like, or you can choose random comments.

By Clicking "Buy Comments" you are agreeing to the Terms and Conditions.

$20.00

X item(s)

Buy Comments
Sasa wasanii wengne hawatak hawa viewers au hawana hela?

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Mpingeni kwa hoja msimuite hajui kitu wakati ana evidence za akiandikacho,mahakamani watu wanafungwa hivi hivi hakimu anakwambia jiteteee unabaki kusema "haki ya mungu hakimu sijaiba mimi" hakimu anarudia tena mshatakiwa jiteteee mshtakiwa anarudia "hakimu mungu ananiona kama nakudanganya nife leo.

Hakimu anafunga utetezi anatoa hukumu,mshtakiwa utaenda jela kwa miaka mitano,ndio unaskia mtu akipiga ukunga kama kanyooshewa bastola.

Mnaomchora mwenzenu kuwa hajui kitu,wekeni data zenu kuthibitisha kuwa hajui kuliko nyie mnavyojua,acheni maneno maneno kama hamna hoja za kutetea mnachokiamini.
Kwa hiyo akitokea mtu akaandika mtandaoni anafufua waliokufa , anatibu ukimwi na anatoa utajiri ndani ya masaa 24.

Alafu akatokea mjinga mmoja akasema kuna watu wanafanya biashara ya kufufua watu kutibu ukimwi na kutoa utajiri na kuna gharama zake.

Mtu kama huyo unatakiwa kuja na evidence kukataa ujinga wake?

Kwa logic ya kawaida comments za kiswahili zinatengenezwa na nani huko nje.
 
Sasa wasanii wengne hawatak hawa viewers au hawana hela?

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
mimi nadhani swala la kununua viewers ni kama online business,kuna watu hawawezi fanya biashara online wakiogopa kuibiwa na kuna wanaofanya kwakujua hata nikiibiwa nitaanzia hapa ntamalizia pale.

wasanii wengine nahisi wanajua viewers wananunuliwa lakini je wampe nani hiyo hela ili awanunulie hao viewers,je ikitokea viewers wakaondolewa watafanyaje? kuna maswali wasanii wengine wanajiuliza wanaishia kuona bora nusu hasara (kukosa viewers fake) kuliko hasara kamili (kulipia viewers halafu wasiongezeke hela ipoteee)

wcb nawafananisha na Mwl.RCT huyu teacher yeye ananunua chochote online hata kiwe kona ya nchi gani,hajali wala haogopi kuhusu kupoteza hela,ananunua vitu vya mamilioni mtandaoni na ana amani,kwanini? kwasababu ana jua nini chakufanya ili asitapeliwe na nini cha kufanya hata akitapeliwa hela yake aipate,ndio mana haogopi.

wcb wamesha master game,wanajua nini wanataka nini chakufanya nini chakutofanya na zaidi "pesa wanayo" unakuta mambo yanawezekana kwao,kwahyo wasanii wengine sio kwamba hawajui huu mchezo "wanaujua vizuri tu" lakini hawana vitendea kazi,hawana connection,nk nk.

Mambo ni MENGI lakini mwisho ni kwamba yote hayo yanawezekana kama PESA IPO na wcb pesa ipo hawashndwi kitu ni wao kuamua tu.
 
Attachments

  • YOUTUBE-VIEWS-4.jpg
    YOUTUBE-VIEWS-4.jpg
    22.9 KB · Views: 1
  • YOUTUBE-VIEWS.jpg
    YOUTUBE-VIEWS.jpg
    54.7 KB · Views: 1
mimi nadhani swala la kununua viewers ni kama online business,kuna watu hawawezi fanya biashara online wakiogopa kuibiwa na kuna wanaofanya kwakujua hata nikiibiwa nitaanzia hapa ntamalizia pale.

wasanii wengine nahisi wanajua viewers wananunuliwa lakini je wampe nani hiyo hela ili awanunulie hao viewers,je ikitokea viewers wakaondolewa watafanyaje? kuna maswali wasanii wengine wanajiuliza wanaishia kuona bora nusu hasara (kukosa viewers fake) kuliko hasara kamili (kulipia viewers halafu wasiongezeke hela ipoteee)

wcb nawafananisha na Mwl.RCT huyu teacher yeye ananunua chochote online hata kiwe kona ya nchi gani,hajali wala haogopi kuhusu kupoteza hela,ananunua vitu vya mamilioni mtandaoni na ana amani,kwanini? kwasababu ana jua nini chakufanya ili asitapeliwe na nini cha kufanya hata akitapeliwa hela yake aipate,ndio mana haogopi.

wcb wamesha master game,wanajua nini wanataka nini chakufanya nini chakutofanya na zaidi "pesa wanayo" unakuta mambo yanawezekana kwao,kwahyo wasanii wengine sio kwamba hawajui huu mchezo "wanaujua vizuri tu" lakini hawana vitendea kazi,hawana connection,nk nk.

Mambo ni MENGI lakini mwisho ni kwamba yote hayo yanawezekana kama PESA IPO na wcb pesa ipo hawashndwi kitu ni wao kuamua tu.
Wamekimbia mkuu, wameelewa sasa walitaka kuleta ubishi wavikao vya kahawa
 
Kuweka pembeni suala la kununua followers au viewers, uhalisia ni kwamba SEHEMU KUBWA ya followers wa insta na mitandao mingine ya aina hiyo ni HEWA si WATU halisi wale.
Mtu ana followers 5m, anafanya kolabo na mwingine mwenye followers 9m, ngoma inakaa zaidi ya miezi mitatu haijafikisha 2.6m views. Hii ni kuonesha kuwa wengi wa wale followers nima ghost, sio real people.
 
Zinauzwa bei gani na wengine wawe wananunua?
YouTube Views $27 - 5000

They are $5.20 per 1000 views. Minimum order of 5000 at a time. Mostly USA views.
After you place your order, you will send us the link to your youtube video.
Quantity is per 5000
1 = 5,000
2 = 10,000
3 = 15,000
4 = 20,000
5 = 25,000
.
.
10 = 50,000

By Clicking "Buy Views" you agree to the Terms and Conditions.

$27.00

X item(s)

Buy Views
Hao wanageria watakupiga wacha uboya!
 
Hao wanageria watakupiga wacha uboya!
acha kukurupukia mada hapo nimeonesha kwamba kunauwezekano wa kupata fake Views

Wasanii wengi hawana connection yakupata real site zinazofanya huu mchezo wengi wameishia kutapeliwa....
 
YouTube Views $27 - 5000

They are $5.20 per 1000 views. Minimum order of 5000 at a time. Mostly USA views.
After you place your order, you will send us the link to your youtube video.
Quantity is per 5000
1 = 5,000
2 = 10,000
3 = 15,000
4 = 20,000
5 = 25,000
.
.
10 = 50,000

By Clicking "Buy Views" you agree to the Terms and Conditions.

$27.00

X item(s)

Buy Views
Mwambie kiba na konde nao wanunue sio kulalamika tu
 
TEAM 666 laiti zingekua zinauzwa kama unavyojisemesha harmo asingekubali kuzidiwa subscriber na rayvany, pia hata nyimbo nyingi za wasanii wetu zingekua na walau viewers hata 100m
 
TEAM 666 laiti zingekua zinauzwa kama unavyojisemesha harmo asingekubali kuzidiwa subscriber na rayvany, pia hata nyimbo nyingi za wasanii wetu zingekua na walau viewers hata 100m

Rayvany M 2.12 subscriber Harmonize M 2.08 subscriber hakumuacha mbali
 
Team 666

Sasa ushaidi uko wapi kuwa WCB wananunua viewers? Maana kutuhumu ni jambo moja na kuthibitisha ni jambo jingine.

Kwanini WCB pekee ndiyo waweze kununua viewers na subscribers na wengine wasiweze?

Hivi unaijua algorithms ya Google kwenye YouTube wewe? Kiasi kwamba iweze kuwa manipulated na watu wa nje wanaowauzia watu subscribers na viewers?

Kama kununua viewers ni rahisi kiasi hicho si kila msanii angekuwa na traffic ya kutosha kwenye akaunti ya YouTube?

Hizo sites ulizonukuu za kuthibitisha ununuaji viewers je ni credible? Nani ameandika hizo taarifa na je hiyo information inaweza kuwa verified...? Maana mtu yeyote anaweza tu kuandika chochote online.
 
Back
Top Bottom