Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Mkuu we mgumu sana kuelewa alafu mwepesi kusahau, ushasahau kama umevuta jiko πHv kumbe ndo maana Jana sijui juzi Half american alikua ananiambia ulikua Kwa masanja mm Hata sikumuelewa ππ kumbe Ringo kauaga ubachela
ππndio tumekuona bwana,, hongera mkuuHv kumbe ndo maana Jana sijui juzi Half american alikua ananiambia ulikua Kwa masanja mm Hata sikumuelewa ππ kumbe Ringo kauaga ubachela
Zuchu hata live anatukana sana bora maua hayo matusi yanskuwa kwenye sanaa.Hahahaha kama huyo alivomkubali zuchu
ππHaikua dhamira yangu kbs mm ni kataa ndoa proMkuu we mgumu sana kuelewa alafu mwepesi kusahau, ushasahau kama umevuta jiko π
Napenda ukinichombeza ukigusa mi nalowa......Zuchu hata live anatukana sana bora maua hayo matusi yanskuwa kwenye sanaa.
Ile ni Pete ya uchumba tu maamuzi yanabadilika mda wowoteππndio tumekuona bwana,, hongera mkuu
Ndio ushaingia ndoani, na michango uliikusanya ukiwa unalia sana.ππHaikua dhamira yangu kbs mm ni kataa ndoa pro
usituchanganye apa,, subir tule waliIle ni Pete ya uchumba tu maamuzi yanabadilika mda wowote
Maua apewe ulinzi, napenda ule wimbo wake wa nakuelewa na ule alioshirikishwa na naibu waziri-hata sielewi.Napenda ukinichombeza ukigusa mi nalowa......
Wife material
Na akaunda na group wasapNdio ushaingia ndoani, na michango uliikusanya ukiwa unalia sana.
Walipita mtaa kwa mtaa, kwa chino, kwa nengaNa akaunda na group wasap
mimi mwenyewe namkubali bwana,, ingekua tofauti io mistari ningeijua vip,,ile sauti taaamuuu aseeeee kongole apewe.Maua apewe ulinzi, napenda ule wimbo wake wa nakuelewa na ule alioshirikishwa na naibu waziri-hata sielewi.
na vitisho juuWalipita mtaa kwa mtaa, kwa chino, kwa nenga
πππKuna vitu Hata nikijaribu kuimagine haiji akilini yaan mm nimeoaNdio ushaingia ndoani, na michango uliikusanya ukiwa unalia sana.
Usije ukadanganyika Kabla haujamuoa anakuwa malaika ila ukimweka ndani anakuwa shetaniZuchu hajajichubua, hajaweka kalio la plastic, hajachora tatoo, havuti shisha wala kunywa pombe
Ukimpata kama yeye Oa chap masta
View attachment 3014872
paragraa ya kwanza tuko pamoja mdogo wanguNikimwangaliaga nahis atakua mtamu sana
NB; Kwa kupiga tu ni Mali nzuri ila kuoa mmh kila Mtu abaki na mtazamo wake
Kuna siku nliota ndoto Kuna mdada wa kanisani nafunga nae ndoa wazazi wangu na wa binti wote wapo tayar ila mm sitaki at the same time nliikuwa sitaki kumkataa yule binti live ...... Gafla nikazinduka usingz natetemeka kinoma nimesweat sielew nikanywa maji nikaendelea kulalausituchanganye apa,, subir tule wali
πππππππππ Hahahaha nmecheka jaman,,hukupaliwa kwelKuna siku nliota ndoto Kuna mdada wa kanisani nafunga nae ndoa wazazi wangu na wa binti wote wapo tayar ila mm sitaki at the same time nliikuwa sitaki kumkataa yule binti live ...... Gafla nikazinduka usingz natetemeka kinoma nimesweat sielew nikanywa maji nikaendelea kulala