Zuchu ni true definition ya wife material

usituchanganye apa,, subir tule wali
Kuna siku nliota ndoto Kuna mdada wa kanisani nafunga nae ndoa wazazi wangu na wa binti wote wapo tayar ila mm sitaki at the same time nliikuwa sitaki kumkataa yule binti live ...... Gafla nikazinduka usingz natetemeka kinoma nimesweat sielew nikanywa maji nikaendelea kulala
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hahahaha nmecheka jaman,,hukupaliwa kwel
 
Back
Top Bottom