Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Mm biblia mara nyingi jumapili ila kati kati ya wiki uongo maisha yananipeleka mpera mpera mwendo wa ngirikwamim kabla ya kulala hupenda kusoma mistari mifupi ya biblia kulingana na imani yangu