Zuchu nimekusikia vizuri ama?

Zuchu nimekusikia vizuri ama?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Are u telling me what I think ur telling me?

Kilaza mmoja ATA comment" Yani wewe mwanaume mzima unafuatilia watoto wa kike" ?

Shaabash!!! mwanaume rijali naachaje kufuatilia watoto wa kike?

Sasa umeandika nini Mkuu!!!?? Au K Vant ishafanya yake!!!??
 
Are u telling me what I think ur telling me?

Kilaza mmoja ATA comment" Yani wewe mwanaume mzima unafuatilia watoto wa kike" ?

Shaabash!!! mwanaume rijali naachaje kufuatilia watoto wa kike?
Daah hadi medindsha alivolitamka vizuri
 
Mimi nilivyosikia amesema ''WEWE UNA MTAMBO WEWE'' hata hiyo sauti aliyoitoa ni anaonyesha jinsi alivyomnukuu msemaji.... Zuchu ni binti ambae amelelewa vizuri sidhani kama anaweza kutukana in public kama wengi wanavyodhani.
Namimi nimesikia hivyo.
 
Mimi nilivyosikia amesema ''WEWE UNA MTAMBO WEWE'' hata hiyo sauti aliyoitoa ni anaonyesha jinsi alivyomnukuu msemaji.... Zuchu ni binti ambae amelelewa vizuri sidhani kama anaweza kutukana in public kama wengi wanavyodhani.
Wewe masikio yako yanasikia vizuri kuliko ya serikali?
Hebu tulia kwanza.
 
Duuh au alijua wapo kupiga umbea tu hawarekodiwi, hilo ni neno zito sana kwenye jamii.

Basi kwa hapo, inathibitika kua maneno yasiyo na staha na matusi kama hayo ofisini kwao ni kitu cha kawaida kabisa.

Kila siku wanafanya makosa wao, wapewe kahukumu kazito kidogo akili iwakae sawa.
 
Back
Top Bottom