Zuchu nimekusikia vizuri ama?

Zuchu nimekusikia vizuri ama?

Shida kubwa iko kwenye aliyeedit na producer wa kipindi. Kipindi siyo live sasa kwanini aliacha hicho kipande?

Wasafi wana shida kubwa ya kuwa na watu makini kwenye media yao yani kila leo wao ndio wakuambiwa wambe radhi siku tatu na TCRA kila leo na sio wengine!

Kuna shida kubwa kwenye hii media ni kweli kabisa Zuchu alitukana nafikiri ni uchanga wa kuhojiwa au kuwambele ya Camera na hata waandaji na anaye hoji kuwa mchanga imechangia!
 
Mimi sijaelewa kwanini kwenye editing waliacha hilo neno. Au ndo mwendelezo wa yale yanayoimbwa kwenye nyimbo zao...
 
Marketing strategy yao nu kutaka kupata attention kwa njia za aina hii.

Ninaamini team yote hufanyiwa coaching namna ya kutafuta attention, iwe kwa mavazi, maongezi, tabia nk.

Hawa ipo "kenge wasiosikia" ipo siku watagusa mahali pabovu mpaka serikali itaamua kuwaondoa kwenye media industry.
 
Back
Top Bottom