Zuchu unazingua, wimbo wako wa honey ni mbaya

Hapo Sasa unajiongelea wewe,unanilazimisha kuupenda wimbo nisioupenda.....halafu wewe ndio Zuchu?mi nimemuandikia Zuchu we unaanza kulalamika.......Pole lkn
 
Hapo Sasa unajiongelea wewe,unanilazimisha kuupenda wimbo nisioupenda.....halafu wewe ndio Zuchu?mi nimemuandikia Zuchu we unaanza kulalamika.......Pole lkn
Kwa hiyo ww unawakilisha mtizamo wa jamii nzima?au kuna sehemu nimekulazimisha uupende.

Hii ni Celebrity Forum, umemzungumzia Zuchu kama Public Figure, so nimetoa mawazo yangu binafsi.

Na haibadilishi mtizamo wako binafsi/chuki sio wa jamii nzima,husicho kipenda ww kuna wengine wata kikimbilia.

Ila kama hii thread ulimwandikia Zuchu ni vyema ungemtumia kwenye acc zake binafsi za Social network, as long umeweka humu JF tegemea + na vilevile - comments,sababu JF ni jukwaa la jamii nzima,kutoa mitizamo pindi mada iletapo.

Uzuri huwaga sipendi kutukana wanawake JF japo lugha uliyo itumia sikuipenda,ila bado na kuheshim.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…