Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Mwanzoni kabisa sikumuelewa kabisa nikiamini lebo ya wasafi inambeba
lakini kadri siku zinavyozidi kwenda naona kuna kipaji kikubwa na sauti ya kipekee yenye mahadhi ya kimwambao
Toka majuzi nasikiliza nyimbo mbili tu.....wa nandi NIBAKISHIE na wa zuchu NUMBER ONE
Nampenda sana Nandy lakini kwa Zuchu nimemuelewa zaidi kwenye huu wimbo
Anacho nifurahisha zaidi anamashairi flani hivi amazing na ninataarifiwa anatunga mwenyewe