kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Huo uongo mbona anatunga maujinga tu?Kama hujui mtunzi pale ni rayvan anawatungia wote asilimia kubwa hilo aliongea salam sk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo uongo mbona anatunga maujinga tu?Kama hujui mtunzi pale ni rayvan anawatungia wote asilimia kubwa hilo aliongea salam sk
Iko wazi hiyo.Mwanzoni kabisa sikumuelewa kabisa nikiamini lebo ya wasafi inambeba
lakini kadri siku zinavyozidi kwenda naona kuna kipaji kikubwa na sauti ya kipekee yenye mahadhi ya kimwambao
Toka majuzi nasikiliza nyimbo mbili tu.....wa nandi NIBAKISHIE na wa zuchu NUMBER ONE
Nampenda sana Nandy lakini kwa Zuchu nimemuelewa zaidi kwenye huu wimbo
Anacho nifurahisha zaidi anamashairi flani hivi amazing na ninataarifiwa anatunga mwenyewe
Kama kuna msanii wa kufukuza WCB ni RAYVAN
kwanini mkuu? Kwani anatatizo gani la uimbaji huyo chuchuanaependa zuchu either ni mwanamke wa uswahilini,lesbian,Tansgeder au Shoga
Magufuli ndio anamfundisha kuimba huyu demi,Zuchu kila siku yuko Ikulu kwa course ya kuimba Mwalimu akiwa Magufuli..Pongezi ziende kwa serikali ya awamu ya Tano, chini ya uongozi wa mheshimiwa Magufuli.
Mimi huu wimbo umekuwa kama asali kwangu , my number one Rayvanny ft Zuchu aisee , Zuchu jaman huyu mtoto kaflow mle daah ni nouma Sana , naomba video director akae atulie huu wimbo autendee haki asiukimbize aisee , naomba asisahau location ya baharini sio swingpool au vidimbwi ataharibu....😁Mwanzoni kabisa sikumuelewa kabisa nikiamini lebo ya wasafi inambeba
lakini kadri siku zinavyozidi kwenda naona kuna kipaji kikubwa na sauti ya kipekee yenye mahadhi ya kimwambao
Toka majuzi nasikiliza nyimbo mbili tu.....wa nandi NIBAKISHIE na wa zuchu NUMBER ONE
Nampenda sana Nandy lakini kwa Zuchu nimemuelewa zaidi kwenye huu wimbo
Anacho nifurahisha zaidi anamashairi flani hivi amazing na ninataarifiwa anatunga mwenyewe
Mkuu chuga boy kasikilize my number one angalau , mtoto katema vitu mle labda kama ulisoma physics na chemistry + Hesabu huenda usimwelewe kweli😁Hamna kitu huyo.....Huyo Zuchu bado sijaelewa kama anaimba kaswida au bongo fleva
Amna tatizo mkuu...ni niche yake tukwanini mkuu? Kwani anatatizo gani la uimbaji huyo chuchu
Mbona Queen Darling anahangaika manyimbo mabovu na yupo lebel kubwa wasafi?amn kitu masta ,amini ukifnya kazi bila stress na kwa utulivu inakua nzuri zaidi, simaanisha hao wengne awafany kwa utulivu...
ata kwenye mpira angalia timu iliyoko kwenye management nzuri( yenye fweza zake) lazim in perfom vizuri
mfano mwingine angalia tu ata msimu uliopita Simba na Yanga kulikua n tofaut kubwa simba ilikus na kiwango kikubwa Yanga ilitembeza mabakuli na matokeo yao yalikua mabovu
ok turudi kwa zuchu anafanya kazi kwenye moja ya mngmnt kubwa na yenye nguvu apa tz ,cha pili yuko na wasanii wazito EA lazima kazi itoke nzuri ta ww ata kama huna kipaji cha mziki kitendo cha kusainiwa tu wcb tayar nusu y mashabiki wa diamond ushawachukua ,utatengenezewa kazi ambzo ata wew kimoyo moyo utasema huyu sio mimi ni saut yangu tu ipo hapa
.
.
.
conclusion: Zuchu sijasema sio mzur ila sio kweli yupo kwenye level alizowekwa!!!
Waambie mkuu kipaji hakina mbadala kwenye mafanikio , ili kipaji kifike mbali kinahtaj jitihada tuu, ila kamwe jitihada haiwez kuwa mbadala wa kipaji , .... Hata utoe kafara ndugu zako wote lakn kama kipaji hakipo kwenye mishe unazofanya bado utasota Sana , ndo mana tunaona wote wanatoa mikafara lakn mmoja ni billionaire mwingine ni millionaire ,.... Na kamwe hutamona Shetani anahangaika na mtu ambaye Hana potentiality.....Mbona Queen Darling anahangaika manyimbo mabovu na yupo lebel kubwa wasafi?
Janeth Jackson aliwahi kuulizwa kwamba ni kweli kwamba yeye sio msanii mkubwa ila Jina la kaka yake na Jackson 5 ndio vinambeba?.................Akajibu kama jina la Jackson ndio linanibeba mbona nikitoa nyimbo mbaya hazifiki popote na nikikaza nitoe nyimbo kali zinatop kwenye chart duniani kote?
Jaydee aliambiwa na clouds sisi ndio tulikua tuna kubeba sasa tuone kama utafika popote......akawajibu kama clouds ndio inabeba wasanii kwanini msibebe ndugu zenu wakaimba wakawa na mafanikio?
Kipaji kipo mkuu kwa Zuchu tena kikubwa sana