Zuchu uwezo anao mkubwa habebwi na lebo

Zuchu uwezo anao mkubwa habebwi na lebo

Kweli kuna watu mna muda wa kupoteza kumsikiliza huyo kishingo
 
Mwanzoni kabisa sikumuelewa kabisa nikiamini lebo ya wasafi inambeba
lakini kadri siku zinavyozidi kwenda naona kuna kipaji kikubwa na sauti ya kipekee yenye mahadhi ya kimwambao

Toka majuzi nasikiliza nyimbo mbili tu.....wa nandi NIBAKISHIE na wa zuchu NUMBER ONE

Nampenda sana Nandy lakini kwa Zuchu nimemuelewa zaidi kwenye huu wimbo

Anacho nifurahisha zaidi anamashairi flani hivi amazing na ninataarifiwa anatunga mwenyewe
Bila lebo nani alimjua Zuchu?
 
Nibakishie ni nyimbo nzuri hasa uzuri wa nyimbo upo kwenye verse ya Alikiba,kwenye hii verse ya Ally kweli ndio mtu unasema huyu jamaa anajua kumbe.
 
Mwanzoni kabisa sikumuelewa kabisa nikiamini lebo ya wasafi inambeba
lakini kadri siku zinavyozidi kwenda naona kuna kipaji kikubwa na sauti ya kipekee yenye mahadhi ya kimwambao

Toka majuzi nasikiliza nyimbo mbili tu.....wa nandi NIBAKISHIE na wa zuchu NUMBER ONE

Nampenda sana Nandy lakini kwa Zuchu nimemuelewa zaidi kwenye huu wimbo

Anacho nifurahisha zaidi anamashairi flani hivi amazing na ninataarifiwa anatunga mwenyewe
Hana lolote anaimba mataarabu tu tena mwanzo mwisho sauti wanaifanyia auto tune kama anaimbia shimoni. Ni label tu inambeba hata kwenye top 10 ya madem wenye uwezo zuchu huwezi muweka
 
kuwa lesbian,Transgender,mwanamke wa uswahilin au gay ni kazi?
Wewe umesema wanaompenda, Zuchu ni watu wa sampuli hiyo, umefanya wapi tafiti yako hiyo? halafu Zuchu mwanamziki kudai mashabikiii wake ni mashoga huko ni kuchafua kazi za watu
 
Hana lolote anaimba mataarabu tu tena mwanzo mwisho sauti wanaifanyia auto tune kama anaimbia shimoni. Ni label tu inambeba hata kwenye top 10 ya madem wenye uwezo zuchu huwezi muweka
Sasa mbona wanashindwa kwa Queen dada wa Diamond platnumz why Zuchu.

Alafu hata usipo kubali wewe haiondoi kweli ya kuwa yy ni mkali kwami kuna HISIA zako na NUMBER ,sisi tunaangalia number wewe endelea na hisia zako.
 
Wewe umesema wanaompenda, Zuchu ni watu wa sampuli hiyo, umefanya wapi tafiti yako hiyo? halafu Zuchu mwanamziki kudai mashabikiii wake ni mashoga huko ni kuchafua kazi za watu
kwani mashoga ni uchafu??ebu muogope Mungu...Yani anawaumba watu wewe unawaita uchafu
 
Mungu ajaumba mashoga , hizo ni tabia za kujifunza kwa hiari yako au kwa kulazimishwa na jamii husika, Mungu anaumba mtu akiwa hana ajualo, angewaumba mashoga asingewaangamiza Sodoma bali angewazawadia pongezi
 
Back
Top Bottom