Zuchu uwezo anao mkubwa habebwi na lebo

Zuchu uwezo anao mkubwa habebwi na lebo

Mungu ajaumba mashoga , hizo ni tabia za kujifunza kwa hiari yako au kwa kulazimishwa na jamii husika, Mungu anaumba mtu akiwa hana ajualo, angewaumba mashoga asingewaangamiza Sodoma bali angewazawadia pongezi
Kwahyo mashoga walijiumba...basi kumbe Mungu wako hajaumba kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzoni kabisa sikumuelewa kabisa nikiamini lebo ya wasafi inambeba
lakini kadri siku zinavyozidi kwenda naona kuna kipaji kikubwa na sauti ya kipekee yenye mahadhi ya kimwambao

Toka majuzi nasikiliza nyimbo mbili tu.....wa nandi NIBAKISHIE na wa zuchu NUMBER ONE

Nampenda sana Nandy lakini kwa Zuchu nimemuelewa zaidi kwenye huu wimbo

Anacho nifurahisha zaidi anamashairi flani hivi amazing na ninataarifiwa anatunga mwenyewe
Ulikuwa unamjua kabla ya kuingia kwenye lebo ya WCB
 
Kitendo cha kuwajua mashoga zaidi ya wanavyojijua wenyewe hiki kinatoshaaa kusema wewe ni Miongoni mwao, maana ata daktari wa vichaa hawezi kuwa mzima 100%
Naona hupendi navyowajua....nyie hata mjificheje ntawajua tu hata kwa mimbo mnayosikiliza hata ufuge midevu kama mfagio
 
Naona hupendi navyowajua....nyie hata mjificheje ntawajua tu hata kwa mimbo mnayosikiliza hata ufuge midevu kama mfagio
Wewe ushakuwa Miongoni mwao , wewe endelea tu ,ndio maisha ulioyachagua
 
Ata Mdomo huumba, mpaka leo ujui maana ya kuumba, pole sana
Huo mdomo uliumbwa na nani?

لِكُمُ اللّٰهُ رَبُّكُمۡۚ لَاۤ اِلٰهَ اِلَّا هُوَۚ خَالِقُ كُلِّ شَىۡءٍ فَاعۡبُدُوۡهُۚ وَهُوَ عَلٰى كُلِّ شَىۡءٍ وَّكِيۡلٌ‏ 

(6:102) Such is Allah, your Lord. There is no god but He - the Creator of all things. Serve Him alone - for it is He Who is the guardian of everything.
 
Back
Top Bottom