Zuchu vs Burna Boy waingia kwenye mchuano wa MTV awards

Zuchu vs Burna Boy waingia kwenye mchuano wa MTV awards

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
20221011_215002.jpg


Msanii wa kike namba moja Africa ya mashariki na Kati supastaa Zuchu leo amechaguliwa kushindania tuzo ya MTV Europe music awards.

Ameingia kwenye kipengele cha best african act na mshindani wake mkubwa ni burna boi.

Sasa bila kuchelewa ingia kumpigia kura mwakilishi pekee wa east africa kwenye link hapa chini

 
Hapo mshindani wake mkubwa ni tems na sio burna. Tems mwaka huu naona international audience zimemkubali japo hata hits 10 hana
Tems zikihesabiwa kura na influence hamuwezi Zuchu. Labda kwenye numbers za streams.
 
Kuna fitina flan zinafanyikaga , money talks zingine ni mbwembwe tu
 
Tems zikihesabiwa kura na influence hamuwezi Zuchu. Labda kwenye numbers za streams.
mtv EMA huwa wanapata wasanii wowote wale, hata zuchu anaweza kupata au wengine tofauti na burna na tems..
Ila internationally mwaka ni wa tems huu..
Kuwa co-writer wa album ya beyonce, kuimba theme song ya black Panther, kuingia billboards na hizo tuzo za BET..
Ila tumpigie kura zuchu mtanzania mwenzetu maana kuwa listed tu ni hatua kubwa kwake 🙏🙏
1665587833714.jpg
 
Back
Top Bottom