Zuchu vs Burna Boy waingia kwenye mchuano wa MTV awards

Zuchu vs Burna Boy waingia kwenye mchuano wa MTV awards

mtv EMA huwa wanapata wasanii wowote wale, hata zuchu anaweza kupata au wengine tofauti na burna na tems..
Ila internationally mwaka ni wa tems huu..
Kuwa co-writer wa album ya beyonce, kuimba theme song ya black Panther, kuingia billboards na hizo tuzo za BET..
Ila tumpigie kura zuchu mtanzania mwenzetu maana kuwa listed tu ni hatua kubwa kwake šŸ™šŸ™View attachment 2384939
Tems ni essence nje ya hapo hana jipya, anatembelea essence ya kidayo mpaka leo.
 
Kuwa shortlisted ktk hao magiant ina maana mziki wake umekua,umepenya na tayari ni mshindi. Kajitahidi anachofanya kinaonekana japo Tems anaweza kuchukua hiyo tuzo. Ila Zuchu tayari amesha prove that mziki wake umevuka boda na umefika mbali.
Zuchu ana nafasi ya kuchukua, Kiba alichukua mbele ya WizKid.
 
Tems ni essence nje ya hapo hana jipya, anatembelea essence ya kidayo mpaka leo.
Kwa afrika ni hiyo essence na crazy tings ndio hits kubwa japo ana nyimbo nyingine kali tu.
Ila mwisho wa siku tumtakie mema zuchu maana akipata hiyo tuzo itamboost international wise ambayo ndio target ya ACB baada ya kumuweka vizuri EA
 
View attachment 2384867

Msanii wa kike namba moja Africa ya mashariki na Kati supastaa Zuchu leo amechaguliwa kushindania tuzo ya MTV Europe music awards.

Ameingia kwenye kipengele cha best african act na mshindani wake mkubwa ni burna boi.

Sasa bila kuchelewa ingia kumpigia kura mwakilishi pekee wa east africa kwenye link hapa chini

Ngoja nikampigie kura Burna Boy..
 
mtv EMA huwa wanapata wasanii wowote wale, hata zuchu anaweza kupata au wengine tofauti na burna na tems..
Ila internationally mwaka ni wa tems huu..
Kuwa co-writer wa album ya beyonce, kuimba theme song ya black Panther, kuingia billboards na hizo tuzo za BET..
Ila tumpigie kura zuchu mtanzania mwenzetu maana kuwa listed tu ni hatua kubwa kwake [emoji120][emoji120]View attachment 2384939
Ukimpigia kura atapumbazika na kurelax kama ilivyokua kwa ray vanny na tuzo ya BET, diamond ni mituzo ya nje.. mziki wa zuchu bado sana kutoboa kwa level za kina tems..
 
Back
Top Bottom