sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
- Thread starter
- #41
Zuchu anaenda kushinda kwa kishindo na utabaki na hali yako ngumu kimaisha.Ngoja nikampigie kura Burna Boy..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zuchu anaenda kushinda kwa kishindo na utabaki na hali yako ngumu kimaisha.Ngoja nikampigie kura Burna Boy..
Ndugu yangu mwenye hali nzuri ya kimaisha.. akishinda Zuchu akupe gawio hata asilimia 15 ya ushindi uongeze kwenye utajiri wakoZuchu anaenda kushinda kwa kishindo na utabaki na hali yako ngumu kimaisha.
Tofautisha mwanamke mzuri na mwanamke anayepiga picha nzuri. UsipagaweMondi anakojolea pazuri mno
Hakuna kitu kama hichoTunza hii post, ikifika mwakani hii ndio itakuwa very powerful couple kuwai kutokea Africa.
Tofautisha mwanamke mzuri na mwanamke anayepiga picha nzuri. Usipagawe
Vuta subiraHakuna kitu kama hicho
Tulia uinjoi show.Ndugu yangu mwenye hali nzuri ya kimaisha.. akishinda Zuchu akupe gawio hata asilimia 15 ya ushindi uongeze kwenye utajiri wako
Kuwa Mzalendo....tulia Nyumbani kumenoga[emoji23]Unaachaje kumshabikia mnyama burnaboy wa kilomi kilomi kilomitaaaa unaanza kumshabikia huyu dem mwimba taarabu??
Kumbe ni wa kiume? Nikajua ni kabinti ila kaweka avatar ya MvulanaJamaa ana michambo[emoji23] ...Au ndio zuchu mwenyewe nini?
Haaaa....hata kama mabando yenu yako juu?Kuwa Mzalendo....tulia Nyumbani kumenoga[emoji23]
Unataka kuthibitisha? Njoo nikushikishe ukuta.Kumbe ni wa kiume? Nikajua ni kabinti ila kaweka avatar ya Mvulana
Unaachaje kumshabikia mnyama burnaboy wa kilomi kilomi kilomitaaaa unaanza kumshabikia huyu dem mwimba taarabu??
mtv EMA huwa wanapata wasanii wowote wale, hata zuchu anaweza kupata au wengine tofauti na burna na tems..
Ila internationally mwaka ni wa tems huu..
Kuwa co-writer wa album ya beyonce, kuimba theme song ya black Panther, kuingia billboards na hizo tuzo za BET..
Ila tumpigie kura zuchu mtanzania mwenzetu maana kuwa listed tu ni hatua kubwa kwake 🙏🙏View attachment 2384939
Tanzania kwanza😁Issue no utanzania au mziki mzuri,??siwezi pigia kura Cheche over Kilometer.