sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Vyovyote vile anaenda kukalishwa na ZuuhSio burnaboy!?
Jaribu tena upige babu link ipo okay kabisaMbona nafungua haikubali?
Fanya kama unabofya link tumpeleke duniani supastaa Zuchu, mengine achana nayo mali za watu hizomtoto mkali anakojoa juisi
Fanya kama unabofya link tumpeleke duniani supastaa Zuchu, mengine achana nayo mali za watu hizo
Tunza hii post, ikifika mwakani hii ndio itakuwa very powerful couple kuwai kutokea Africa.Mondi anakojolea pazuri mno
I wonderUnaachaje kumshabikia mnyama burnaboy wa kilomi kilomi kilomitaaaa unaanza kumshabikia huyu dem mwimba taarabu??
Burna robot atamtambua mtoto wa kipemba, usimalize maneno.Unaachaje kumshabikia mnyama burnaboy wa kilomi kilomi kilomitaaaa unaanza kumshabikia huyu dem mwimba taarabu??
Shemeji yetu huyoo eeh πππMondi anakojolea pazuri mno
Ni wanawake wachache sana wenye sura mbaya, gundu na maisha magumu wanamkubali Zuchu so sikushangai.I wonder
Sawa shostiNi wanawake wachache sana wenye sura mbaya, gundu na maisha magumu wanamkubali Zuchu so sikushangai.
Soma tena unielewe kama walau akili unazo.
Tems zikihesabiwa kura na influence hamuwezi Zuchu. Labda kwenye numbers za streams.Hapo mshindani wake mkubwa ni tems na sio burna. Tems mwaka huu naona international audience zimemkubali japo hata hits 10 hana
Ingekuwa US sawa maana managers wao wapopo ni wakubwa marekani, ila ulaya usihofu piga kura sanaKuna fitina flan zinafanyikaga , money talks zingine ni mbwembwe tu
mtv EMA huwa wanapata wasanii wowote wale, hata zuchu anaweza kupata au wengine tofauti na burna na tems..Tems zikihesabiwa kura na influence hamuwezi Zuchu. Labda kwenye numbers za streams.