Zuchu vs Burna Boy waingia kwenye mchuano wa MTV awards

Tems ni essence nje ya hapo hana jipya, anatembelea essence ya kidayo mpaka leo.
 
Kuwa shortlisted ktk hao magiant ina maana mziki wake umekua,umepenya na tayari ni mshindi. Kajitahidi anachofanya kinaonekana japo Tems anaweza kuchukua hiyo tuzo. Ila Zuchu tayari amesha prove that mziki wake umevuka boda na umefika mbali.
Zuchu ana nafasi ya kuchukua, Kiba alichukua mbele ya WizKid.
 
Tems ni essence nje ya hapo hana jipya, anatembelea essence ya kidayo mpaka leo.
Kwa afrika ni hiyo essence na crazy tings ndio hits kubwa japo ana nyimbo nyingine kali tu.
Ila mwisho wa siku tumtakie mema zuchu maana akipata hiyo tuzo itamboost international wise ambayo ndio target ya ACB baada ya kumuweka vizuri EA
 
Ngoja nikampigie kura Burna Boy..
 
Ukimpigia kura atapumbazika na kurelax kama ilivyokua kwa ray vanny na tuzo ya BET, diamond ni mituzo ya nje.. mziki wa zuchu bado sana kutoboa kwa level za kina tems..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…