sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Zuchu anabebwa na Wasafi... Nandy anapewa promotion na Clouds, Efm, East Africa radio & tv, Wasafi media, wasanii wote wakubwa leo tumeona mpaka viongozi wa serikali wanamfanyia promotion. Lakini hali bado nitete, mtoto Zuchu anamlaza na viatu leo.Wakati zuchu anabebwa na misukule yooteeee ya wachafu koge(kile chumba saiv kipo motoo kompyuta simu zikifanya kazi kuongeza vieeeeewwwwwssss). Nandy yupo na mashabiki wake na bill pekee
Maisha yako unayakosea mwenyewe oct 28 haiwezi badili ugumu wa maisha yako pambana mdogo wangu usishikwe maskio.Oktoba 28.
Tusiudie makosa.
Sasa nyie mashabiki wa kiba na mmakonde kwanini msimsaidie,alafu unaposema wcb wote wapo upande wake kwani zuchu sio wcb?Wakati zuchu anabebwa na misukule yooteeee ya wachafu koge(kile chumba saiv kipo motoo kompyuta simu zikifanya kazi kuongeza vieeeeewwwwwssss). Nandy yupo na mashabiki wake na bill pekee
Zuchu alienda trend namba moja masaa matano baada ya kuapload wimbo wake.Kama Nandy Ameweza Kutrend 2 Kwa Muda Huu Mfupi Hivi
Acha Nikasikilize Hiyo Nyimbo.
Zuchu alienda trend namba moja masaa matano baada ya kuapload wimbo wake.
Ili swali muulize rais wako ndio anaemjua vizuri moto wakeZuchu ni msanii wa Nigeria?
Zuchu ana subscribers 501k ndani ya miezi sita, Nandy ana subscribers 520 k ndani ya miaka 6 [emoji23] [emoji23] [emoji23]Angalia profile aliyonayo zuchu na nandy kwa sasa ndio utanielewa nini niliandika hapo juu
Ili swali muulize rais wako ndio anaemjua vizuri moto wake.
Rais yupi?Ili swali muulize rais wako ndio anaemjua vizuri moto wake
Ambaye kila anapoenda anapiga nyimbo za Zuchu.Rais yupi?
Aaangalie na views pia [emoji3]Zuchu ana subscribers 501k ndani ya miezi sita, Nandy ana subscribers 520 k ndani ya miaka 6 [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pata picha mtoto Zuchu akitimiza mwaka.
Jibu limeshapatikana, umebaki ubishi tu na huruma.
Nashangaa zile movement zimeishia wapi za kuwanyosha Hawa wanaccm...Au alikua anatafutwa zuchu tu sjui[emoji3] sijaskia movement ya kumyosha kiba afrima,nandy,harmonize... diamondZuchu ??
Nandy???
Kwa kua wote ni wanaccm
Wacha wapambane.