Zuchu vs Nandy, mpambano umewaka moto

Zuchu vs Nandy, mpambano umewaka moto

Zuchu ana subscribers 501k ndani ya miezi sita, Nandy ana subscribers 520 k ndani ya miaka 6 [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Pata picha mtoto Zuchu akitimiza mwaka.
Diamond anaiba views na subscriber youtube na uchawi juu,juzi tu kakutwa na mailizi kibao na amewaloga sana nyie wafuasi wake hamjitambui mwambieni atoe mafuvu yale afisini kwake muone,huyo mchawi na miirizi yake,wewe umewahi kuona wapi msanii tz ana mwezi eti star mbona yeye alisota kuupata kabla hajaingia kwa sangomaa
 
Kama Diamond anaiba viewers na subscribers kirahisi hivyo kwa nini wengine nao wasiibe ili wawe na subscribers wengi?
 
Wengine wanahofu ya mungu sio wachawi wenye irizi
Unauthibitisho gani kama hao wasanii wengine si wachawi pia..? Huyo diamond ulishawahi kumuona akienda kuroga au kwa mganga?

Unakumbuka lile zindiko alilofanyiwa Harmonize kule Mtwara mchana kweupe?
 
Wcb wanalazimisha mapambano kama ayo wanayoyatafuta kwa konde boy jama hawawezi bila ujinga
 
Diamond anaiba views na subscriber youtube na uchawi juu,juzi tu kakutwa na mailizi kibao na amewaloga sana nyie wafuasi wake hamjitambui mwambieni atoe mafuvu yale afisini kwake muone,huyo mchawi na miirizi yake,wewe umewahi kuona wapi msanii tz ana mwezi eti star mbona yeye alisota kuupata kabla hajaingia kwa sangomaa
Blaza mbona Kama una hasira!
Watu wanaotumia akili karne hii ndio wanakula kuku kwa mrija!
Kuhusu Mondi alishakuacha labda uzungumzie mwingine!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Diamond anaiba views na subscriber youtube na uchawi juu,juzi tu kakutwa na mailizi kibao na amewaloga sana nyie wafuasi wake hamjitambui mwambieni atoe mafuvu yale afisini kwake muone,huyo mchawi na miirizi yake,wewe umewahi kuona wapi msanii tz ana mwezi eti star mbona yeye alisota kuupata kabla hajaingia kwa sangomaa
Jamaa unaimani za kishirikina sana. ni wazi umetokea familia ya waganga wa kienyeji na wachawi.
 
Back
Top Bottom